Ikiwa Tundu Lissu ameridhia kununuliwa gari ya kifahari na wananchi. Akiwa Rais atafuta manunuzi ya V8?

Ikiwa Tundu Lissu ameridhia kununuliwa gari ya kifahari na wananchi. Akiwa Rais atafuta manunuzi ya V8?

Wanaochota pesa zetu na kununua gari za jumla ya billions..

Na anayeomba anchangiwe na wananchi wanyonge apate gari ya kumsapoti kwenye kampeni...

Nani mwizi?

Nitumie hiyo Akaunti Namba Namimi nimchangie..
 
Why specific kwenye magari tu? Huoni extravagance kwingine?
HOJA unaongelea ununuzi wa mashangingi na magari ya kifahari ,

Ni vyema kuangalia matumizi ya pesa za umma.

Na Hawa WAPINZANI ni vyema kuwapima mienendo na maono Yao juu ya matumizi ya pesa kabla ya kuwapa madaraka.

Wewe ulitaka tuongelee mada Ingine.
 
Wanaochota pesa zetu na kununua gari za jumla ya billions..

Na anayeomba anchangiwe na wananchi wanyonge apate gari ya kumsapoti kwenye kampeni...

Nani mwizi?

Nitumie hiyo Akaunti Namba Namimi nimchangie..
Gari anunuliwe.

Lakini V8 tunazozipigia kelele hapana, atakuwa kama maccm tu.

Anunue ya kawaida tu, Toyota land cruiser Mkonga yatosha. Isizidi ml 150.

Na huo ndio uwe uelekeo wa CHADEMA kubana matumizi kabla ya kuwapa madaraka.
 
Sahihi mkuu..

Ila kwa ninavyomjua yule jamaa hawezi nunua V8 Hata siku moja ..

Atachukua ya juu yake .
 
HOJA unaongelea ununuzi wa mashangingi na magari ya kifahari ,

Ni vyema kuangalia matumizi ya pesa za umma.

Na Hawa WAPINZANI ni vyema kuwapima mienendo na maono Yao juu ya matumizi ya pesa kabla ya kuwapa madaraka.

Wewe ulitaka tuongelee mada Ingine.

Kaka kuna vitu mamilioni vya kifahari viongozi wanafanya na magari ni trivial tu, ungekua na hoja kama ungesema matumizi ya serikali kwa ujumla, na huwezi kumpima mtu atakuwaje kwa hisia tu, yani ukiumia mtu kapanda gari ya gharama ya kununuliwa basi atakuwa na yeye mnunuzi akipata madaraka. Haiendi hivyo, sometimes unafanya mambo kwa kuwa mazingira yamekuforce hata kama hutaki. Ungeuliza kwa nini Lissu makamu mwenyekiti wa chama chenye ruzuku achangiwe na wananchi badala ya kupata gari kutoka chamani hapo ningekuona una hoja ya maana. Lakini mtu kupewa zawadi na watu then akatae kufurahisha baadhi ya haters utakuwa sio tu upunguani lakini pia ni dharau kwa watu waliiona umuhimu wako na kukuweka katika daraja wanalotaka wenyewe uwe.

Kama umesoma unaweza kugoogle social stratification, society inajipanga kwenye madaraja automatically na yeye kawekwa na society hapo wanapoona wao anastahili, why ashuke sasa?
 
Sahihi kabisa
Wameanza kutafuta chokochoko baada ya figisu za juzi kukichonganisha CHADEMA kushindikana na Tundu keshaliazisha huko
20241122_103727.jpg
20241122_103731.jpg
 
Vipi aliwahi kukupelekea moto mpaka ukajua ana mambo ya hovyo?
Au ndio unaforce kitu kigumu kikukute toka kwake maana huishiwi vioja kumhusu kama unamhusudu nenda mahakamani kadai haki Yako akufanye uwe bi mdogo maana nyie nzi wa kijani mnaweza pindua Sheria ikakupa upendeleo wa kua nyumba ndogo ya Mwamba wa Ikungi!
😁😁
Hakuna mwamba hapo, huyo ni tofali la barafu, jua likiwaka linayeyuka
 
Salaam, Shalom!!

Naomba majibu yawe mafupi na yaliyoshiba HOJA, vyama tuweke pembeni.

NB: Swali gumu linahitaji jibu gumu! Swali jepesi lijibiwe pia kiuwepesi!

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Karibuni 🙏.

Hata rais akitembelea ndege haina shida maana ni mkuu wa nchi .

Tunachotakaa ni idadi kubwa ya watu wasio na hadhi hata inayokaribia ya Daktari anayeokoa roho za watu kununuliwa magari yennye hadhi sawa na waziri mkuu.
Yaani daktari mkuu wa wilaya hana Gari halafu Mkurugenzi,DC sijui na nani wa ananunuliwa gari ya mil. 400 .Hakuna chochote cha maana wanachofanya kwa wananchi.OCD ambaye anahangaika na polisi wake usiku na mchana na kumlinda DC hana hata Suzuki Escudo ya au Land Cruiser Had top .

Gari la Rais liwe na hadhi ya kipekee ni sawa ,afuatie Makamu wa Rais ,Waziri Mkuu ,Jaji mkuu, Spika ,CDF na IGP na mkuu wa usalama wa Taifa n.k.

Lakini magari ya kifahari kwa kila mteuliwa wa Rais , hii hapana ni matumizi mabaya sana ya kodi za wananchi wanakosa pesa za kulipia wahanga wa ugonjwa wa Figo. Hii nchi ni maskini kwa sababu ya kukosa wazalendo kama Tundu Lisu .
Bahati mbaya mafisadi wana umoja sana na wanaweka mafisadi madarakani kwa gharama kubwa kuliko hata huduma zinazotolewa kwa jamii.

Mafisadi wa nje na ndani wanataka kumrudisha madarakani kwa gharama kubwa sana mtu aliyekaa ikulu kama makamu wa Rais miaka 6 na Rais miaka minne
Ni kwasababu ya uroho tu wa madaraka na ubinafsi.

Mteumiwa wa Rais analipwa mshahara mkubwa ,Ana dereva ,anapewa mafuta halafu atuchagulie na gari la kifahari. Kwa nini asinunue kwa pesa zake ili alikatie mpaka bima. ? Huku ni kukosa uzalendo.
 
Hayo Si mapenzi, ni mahaba kabisa Kwa Lissu umeonyesha.

Kati issues zinazohusu Nchi tuache upendeleo.
Lissu kachangiwa ila ccmu wanachukua pesa za matumizi mengine wanaingiza kwenye matumizi Yao binafs ikiwemo kuweka msafara wa magari 100 wkt mlengwa ni mmoja tu , wajinga km ww walikwepo hata enz za kupigania uhuru
 
We unataka akichangiwa fedha akaifanyie nn
Elewa HOJA.

IPO siku CDM itatoa Rais wa Nchi.

Ni vyema wananchi tukajua msimamo wao juu ya manunuzi wa magari ya anasa ilhali huduma muhimu zinasahauliwa.

Sasa ndipo HOJA hii ilipoibukia alipotamka tumnunulie gari.

Kwake ni muhimu apewe gari zuri lakini gari Hilo lisiwe V8 kama ambavyo tumekuwa tukiwasema CCM Ili iwepo tofauti kati Yao na Hawa CCM,cjui umeelewa?
 
Lissu kachangiwa ila ccmu wanachukua pesa za matumizi mengine wanaingiza kwenye matumizi Yao binafs ikiwemo kuweka msafara wa magari 100 wkt mlengwa ni mmoja tu , wajinga km ww walikwepo hata enz za kupigania uhuru
HOJA ni hii,

Ikiwa Lissu anaukwaa Urais 2025,

Yeye na Chama chake wataondoa mav8 kwenye misafara Yao, madc, RC nk nk?

Ni kama tu Magu alipokubali kupewa nyumba na Kikwete za Serikali, hakuweza kurudisha nyumba zile alipokuwa Rais,

Vivyo hivyo Kwa Lissu, akikubali kununuliwa V8, hawezi ongoza Serikali na kuziondoa kutumika serikalini.
 
Swali Kwa swali!

Kwa uono wako,

Lissu akichaguliwa Kuwa Rais Leo,vatafuta manunuzi ya V8 nchini ikiwa ameridhia wananchi wamnunulie V8 mpya Kwa kuchangishana?

Nijibu Kwa HOJA.
Kwa hoja ipi tukujibu?

Kama hukuchanga huna hoja na hustahili kujibiwa kwa kulazimisha.

Tumebalance equation next…
 
Kwa hoja ipi tukujibu?

Kama hukuchanga huna hoja na hustahili kujibiwa kwa kulazimisha.

Tumebalance equation next…
Kumbe hukuona HOJA,

Mada Iko Page ya 4, wengine wameona hoja na wamejibu kadri ya uwezo wao.

Kutofautiana na kukosoana ndio AFYA yenyewe kwenye DEMOKRASIA yetu.
 
Salaam, Shalom!!

Naomba majibu yawe mafupi na yaliyoshiba HOJA, vyama tuweke pembeni.

NB: Swali gumu linahitaji jibu gumu! Swali jepesi lijibiwe pia kiuwepesi!

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

Karibuni 🙏.
Lissu anataka serikali za majimbo, viongozi wa majimbo wataamua kama wanataka V8 au gari nyingine.
 
Back
Top Bottom