Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HOJA unaongelea ununuzi wa mashangingi na magari ya kifahari ,Why specific kwenye magari tu? Huoni extravagance kwingine?
Gari anunuliwe.Wanaochota pesa zetu na kununua gari za jumla ya billions..
Na anayeomba anchangiwe na wananchi wanyonge apate gari ya kumsapoti kwenye kampeni...
Nani mwizi?
Nitumie hiyo Akaunti Namba Namimi nimchangie..
Sahihi mkuu..Gari anunuliwe.
Lakini V8 tunazozipigia kelele hapana, atakuwa kama maccm tu.
Anunue ya kawaida tu, Toyota land cruiser Mkonga yatosha. Isizidi ml 150.
Na huo ndio uwe uelekeo wa CHADEMA kubana matumizi kabla ya kuwapa madaraka.
Kwani gari aliyopata nayo ajali ilikuwa aina Gani na Bei yake ilikuwa ngapi?Kwa ninavyomjua yule jamaa hawezi nunua V8 Hata siku moja ..
HOJA unaongelea ununuzi wa mashangingi na magari ya kifahari ,
Ni vyema kuangalia matumizi ya pesa za umma.
Na Hawa WAPINZANI ni vyema kuwapima mienendo na maono Yao juu ya matumizi ya pesa kabla ya kuwapa madaraka.
Wewe ulitaka tuongelee mada Ingine.
Wameanza kutafuta chokochoko baada ya figisu za juzi kukichonganisha CHADEMA kushindikana na Tundu keshaliazisha hukoSahihi kabisa
Kwa sasa sio kipaumbeleTunataka jua msimamo wa CDM kuhusu ununuzi wa ma v8 na mishahara na posho za wabunge kabla ya kuwapa Nchi.
Hakuna mwamba hapo, huyo ni tofali la barafu, jua likiwaka linayeyukaVipi aliwahi kukupelekea moto mpaka ukajua ana mambo ya hovyo?
Au ndio unaforce kitu kigumu kikukute toka kwake maana huishiwi vioja kumhusu kama unamhusudu nenda mahakamani kadai haki Yako akufanye uwe bi mdogo maana nyie nzi wa kijani mnaweza pindua Sheria ikakupa upendeleo wa kua nyumba ndogo ya Mwamba wa Ikungi!
😁😁
V8 - gharama ya V8 inajulikana.Kwani gari aliyopata nayo ajali ilikuwa aina Gani na Bei yake ilikuwa ngapi?
Salaam, Shalom!!
Naomba majibu yawe mafupi na yaliyoshiba HOJA, vyama tuweke pembeni.
NB: Swali gumu linahitaji jibu gumu! Swali jepesi lijibiwe pia kiuwepesi!
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Karibuni 🙏.
We unataka akichangiwa fedha akaifanyie nnKwahiyo akichangiwa Fedha akaenda kujenga ghorofa utamwelewa?
Inyooshee kidole ccmViongozi watangulize maslah ya wananchi mbele kuliko binafsi.
Yaani mwananchi anayekosa pesa ya kununua bima ya familia yake,
Apate wapi pesa ya kukununulia V8?
Lissu kachangiwa ila ccmu wanachukua pesa za matumizi mengine wanaingiza kwenye matumizi Yao binafs ikiwemo kuweka msafara wa magari 100 wkt mlengwa ni mmoja tu , wajinga km ww walikwepo hata enz za kupigania uhuruHayo Si mapenzi, ni mahaba kabisa Kwa Lissu umeonyesha.
Kati issues zinazohusu Nchi tuache upendeleo.
Elewa HOJA.We unataka akichangiwa fedha akaifanyie nn
HOJA ni hii,Lissu kachangiwa ila ccmu wanachukua pesa za matumizi mengine wanaingiza kwenye matumizi Yao binafs ikiwemo kuweka msafara wa magari 100 wkt mlengwa ni mmoja tu , wajinga km ww walikwepo hata enz za kupigania uhuru
Huyu sio msigwa weweHakuna mwamba hapo, huyo ni tofali la barafu, just likiwaka linayeyuka
Kwa hoja ipi tukujibu?Swali Kwa swali!
Kwa uono wako,
Lissu akichaguliwa Kuwa Rais Leo,vatafuta manunuzi ya V8 nchini ikiwa ameridhia wananchi wamnunulie V8 mpya Kwa kuchangishana?
Nijibu Kwa HOJA.
Kumbe hukuona HOJA,Kwa hoja ipi tukujibu?
Kama hukuchanga huna hoja na hustahili kujibiwa kwa kulazimisha.
Tumebalance equation next…
Lissu anataka serikali za majimbo, viongozi wa majimbo wataamua kama wanataka V8 au gari nyingine.Salaam, Shalom!!
Naomba majibu yawe mafupi na yaliyoshiba HOJA, vyama tuweke pembeni.
NB: Swali gumu linahitaji jibu gumu! Swali jepesi lijibiwe pia kiuwepesi!
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Karibuni 🙏.