Ikiwa Tundu Lissu ameridhia kununuliwa gari ya kifahari na wananchi. Akiwa Rais atafuta manunuzi ya V8?

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
21,625
Reaction score
33,688
Salaam, Shalom!!

Naomba majibu yawe mafupi na yaliyoshiba HOJA, vyama tuweke pembeni.

NB: Swali gumu linahitaji jibu gumu! Swali jepesi lijibiwe pia kiuwepesi!

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Karibuni πŸ™.
 
Atleast hajatenga billion 200 za wavuja jasho kununua latest V8s za watawala wetu. Mimi sioni shida hata angenunua ndege, as long as wamechangia wananchi.
Kwani wananchi wanaomchangia Lissu kununua gari na wananchi wanaolipa Kodi CCM inanunua ma v8 Kwa Kodi hizo,

Hao wananchi ni tofautiπŸ€”
 
Imagine Mkuu anagawa 700M wakati hapo hapo WM wake anatoa number ya MPESA wananchi tuchangie maafa ya Kariakoo. Ila aisee bongo kuwaelewa wanasiasa unahitaji PhD ya uchawa.
Zaidi wananchi tunashangilia.

Alisemaga Le mutuz....(RIP), viongozi wetu ni reflection ya wananchi!
 
Ndiyo mjue Rais wetu kipaumbele chaken ni michezo
 
Ni sawa tu Kwa sababu hakuna mkataba wowote wa kisheria πŸ˜€
Tuna Mpango wa kumchagua atuongoze nchini,

Hivyo tungependa kujua ikiwa atafuta matumizi ya ma v8 Kwa viongozi ya ayofuja Kodi za wananchi.
 
Kwa uoga na mfimo ya hii nchi ni ndoto za alinacha Mpinzani kuwa Rais,Ni rahisi wewe ukajiunga na CCM ukawa Rais lakini sio mpinzani kuwa Rais.
So,hoja yako haona mashiko maana Lisu akiwa Chadema hawezi kuwa Rais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…