Muonye mwenye BUSARA atasikia,Kemea wewe...
Inawezekana vipi mtu mmoja tu Tundu Lissu afanye kila kitu kwa ajili yako/yenu..?
Au wewe ukombozi haukuhusu..?
Please, play your part...
Don't put all the burden on one person's shoulders while you Rabbon just sitting somewhere vomiting blames and curses to the salvation leaders...!!
That's not right...
Halafu hakuna mahala nimemlaani Lissu.Kemea wewe...
Inawezekana vipi mtu mmoja tu Tundu Lissu afanye kila kitu kwa ajili yako/yenu..?
Au wewe ukombozi haukuhusu..?
Please, play your part...
Don't put all the burden on one person's shoulders while you Rabbon just sitting somewhere vomiting blames and curses to the salvation leaders...!!
That's not right...
Mungu na wananchi wakiamua awe Rais, hayupo wa kupinga .Rais gani tena jamani? si tulishakubaliana serikali inaundwa na CCM wengine waendelee kula ruzuku jamani?
Hawezi kuwa Rais toa mfano wa Cheo kingine tafadhali
Kwenye hiyo unategemea atakuwa raisSalaam, Shalom!!
Naomba majibu yawe mafupi na yaliyoshiba HOJA, vyama tuweke pembeni.
NB: Swali gumu linahitaji jibu gumu! Swali jepesi lijibiwe pia kiuwepesi!
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Karibuni 🙏.
Kipi hicho unapenda kukiona toka kwake Mchungaji zaidi ya hivi anavyofanya sasa..?Halafu hakuna mahala nimemlaani Lissu.
Lissu ni Mbarikiwa hawezi kulaaniwa,
Tunampenda ndio maana tunamwambia kile wananchi maskini wangependa kukiona Toka kwake.
Don't take it personal.
Kila kitu kinawezekana chini ya jua.Kwenye hiyo unategemea atakuwa rais
Uongozi ni vitendo.Kipi hicho unapenda kukiona toka kwake Mchungaji zaidi ya hivi anavyofanya sasa..?
Je, furaha yako ni akatae gari atakayopewa na wananchi (Landcruiser Prado V8) ili awe na uhakika wa safari zake na kuizingukia Tanganyika nzima kuamusha watu waliolala ktk usingizi wa ujinga wa kutojua wajibu na haki zao za kisiasa..?
HOJA ni hii,
Ikiwa Lissu anaukwaa Urais 2025,
Yeye na Chama chake wataondoa mav8 kwenye misafara Yao, madc, RC nk nk?
Ni kama tu Magu alipokubali kupewa nyumba na Kikwete za Serikali, hakuweza kurudisha nyumba zile alipokuwa Rais,
Vivyo hivyo Kwa Lissu, akikubali kununuliwa V8, hawezi ongoza Serikali na kuziondoa kutumika serikalini.
HOJA IPO kwake sababu pesa hizo ni michango ya wananchi wa kawaida...Chadema walinunua Ford Ranger kwa ajili ya shughuli za chama. Kwa hiyo tunaweza kusema tunao mfano wa jinsi wanavyotumia fedha za umma ktk masuala ya vitendea kazi vya usafiri.
..V8 ambazo zimeshanunuliwa na serikali ya Ccm zitatumiwa na serikali itakayoingia madarakani, bila kujali ni ya Nccr, Cuf, Act. Jambo la msingi ni serikali mpya kukomesha ununuzi wa ma-V8, na magari mengine ya kifahari, kwa ajili ya watumishi wa umma.
..Kwa upande mwingine, Lissu, au kiongozi mwingine, akinunua gari BINAFSI la fahari, hayo ni maamuzi yake. Kitu ambacho wananchi tunaweza kuhoji ni kama manunuzi hayo yanalingana na KIPATO halali cha mhusika.
..lakini Chadema gari zao si Ford Ranger? Kwanini unawalaumu kuhusu V-8 wakati chama magari hayo?HOJA IPO kwake sababu pesa hizo ni michango ya wananchi wa kawaida.
Hili jambo linahitaji mjadala mpana.
Kuna namna viongozi hawaelewi wananchi wanataka nn iwe CCM au upinzani🤔
Kwani Ford ranger walinunua Kwa kuchangiwa na wanachama au ni msaada Toka wafadhili?..lakini Chadema gari zao si Ford Ranger? Kwanini unawalaumu kuhusu V-8 wakati chama magari hayo?
Kwani Ford ranger walinunua Kwa kuchangiwa na wanachama au ni msaada Toka wafadhili?
Pia ipi tofauti ya Bei kati ya ford na V8?
Hapo hujaona Question mark?..Chadema kama chama hawana V8 hata moja.
..ford ranger bei yake inaelekeana na toyota hilux / double cabin.
..kwanini unawapakazia kwa matumizi ambayo chama chao hakijayafanya?
Ningekuwa na uwezo Tundu Lissu ningemnunulia Rolls Royce wacha hilo la kuchangiwa. Heshimu sana sana na sana mtu aliyekataa hongo ya mtoto wa Samia. Ni watu wachache sana wenye uwezo huo. Badala ya kumpa moyo mtu kama huyu nyie mnakuja na mada za kipumbavu kabisa.Salaam, Shalom!!
Naomba majibu yawe mafupi na yaliyoshiba HOJA, vyama tuweke pembeni.
NB: Swali gumu linahitaji jibu gumu! Swali jepesi lijibiwe pia kiuwepesi!
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Karibuni 🙏.
Tunaongelea way forward,Kwamba Leo Lissu ni Rais,Ningekuwa na uwezo Tundu Lissu ningemnunulia Rolls Royce wacha hilo la kuchangiwa. Heshimu sana sana na sana mtu aliyekataa hongo ya mtoto wa Samia. Ni watu wachache sana wenye uwezo huo. Badala ya kumpa moyo mtu kama huyu nyie mnakuja na mada za kipumbavu kabisa.
Lisu hana tamaa ndiyo maana hana kashifa ya ufisadi naye kama binadamu atakuwa na madhaifu yakeNasi tungependa kujua msimamo wa Lissu kama kiongozi,
Auonyeshe umma kuwa anaucgungu na pesa za watz, anunue gari nzuri isizidi huo 150ml.
Na aape kufuta manunuzi ya V8 endapo atakuwa Urais.
Watz Si wajinga.
Jamaa mali kwake siyo kipaumbeleNingekuwa na uwezo Tundu Lissu ningemnunulia Rolls Royce wacha hilo la kuchangiwa. Heshimu sana sana na sana mtu aliyekataa hongo ya mtoto wa Samia. Ni watu wachache sana wenye uwezo huo. Badala ya kumpa moyo mtu kama huyu nyie mnakuja na mada za kipumbavu kabisa.