Themagufulianz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2017
- 4,548
- 1,988
haya ntashirikiana nawe kukiri kuwa tunatawaliwa na wazungu.
Yes ni wajibu wetu kuwaogopa, kuwasujudu na kila tunachokifanya lazima tuzingatie furaha na maslahi yao kwanza.
Yes ni wajibu wetu kuwaogopa, kuwasujudu na kila tunachokifanya lazima tuzingatie furaha na maslahi yao kwanza.
Rungu la wafadhili wetu linaandaliwa kwa kumfukuza siieijii kabla ya muda wake