Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie ninaongozwa na fikra huru mkuu
Sio kama mazombi uchaguzi hakuna wapo bize na CAG,likiisha watarudi kwenye serikali za mitaa, mbowe haguswi,huko ndio kutukuza
Bavicha mnahangaika bure
Yaani mabeberu waache Nazi zao washughulike na ajira ya MTU mmoja tu aliemaliza take kwa heshima?
wacha mataifa ya kibeberu waje wamchukue wamwajiri huko kamwa yule aliyetuzushia tuna ugonjwa wa zika alipoondolewa tu na ugonjwa ukaisha du hapa bongo kuna sarakasi za kila aina
Sawa kijana, ila mimi sio mjinga kama unavyofikiria. Naheshimu kile unachoamini wewe sababu una haki ya kuwa na maoni yako. Japo hatukubaliani siwezi kuwa na jazba kwa maoni yako au kukuona mjinga kabla sijajua ukweli wa kile unachokijua na kukiaminiAcha ujinga ww, kuna maendeleo gani nchi hii ya kufanya tuwe threat kwa nchi zilizoendelea? Ni kwamba tunatengeneza mabomu ya nyuklia, au ni hayo maturuma ya reli tunayonunua kwao ndio tuwe threat? Ww lazima utakuwa ni mzee ndio maana unaweza kulishwa propaganda za kizee.
Kwa kasi ya maendeleo yanayofanywa na Serekali ya JPM, Mabeberu wamechelewa sana! Kwa sasa hata Mabeberu wakituwekea vikwazo vya uchumi, kwa rasilimali tulizonazo TZ sisi hivi sasa tunaweze kuwa Donor Country.
We si ulitamba kumpoteza Ben8?!?
Kuua sio Kuvunja katiba?!?
Sawa kijana, ila mimi sio mjinga kama unavyofikiria. Naheshimu kile unachoamini wewe sababu una haki ya kuwa na maoni yako. Japo hatukubaliani siwezi kuwa na jazba kwa maoni yako au kukuona mjinga kabla sijajua ukweli wa kile unachokijua na kukiamini
Tanzania ni yetu sote
we jamaa ndio fala kweli,hizo cash za kununua ndege,na SGR hazifiki hat tilioni 2,hiv unajua bajet yetu ina utegemezi wa pesa ngapi toka kwa wafadhiri? wafuasi wa "Hadija Mwenda" mna tabu sanaAcha ujinga wewe , tunajenga SGR, tunajenga Stieggler's, tumenunua madege, tunajenga mabarabara, tunajenga mahospitali kwa fedha zetu wenyewe... Hao mabeberu watupishe tunamadini na kilakitu wanatuogopa tunavyopanda kwa kasi na muda sio mrefu tutakuwa donor country.
Make Tanzania great again..
Na lengo hasa la mheshimiwa rais ni hilo.
Kututowa kwenye kuwa tegemezi[emoji1241][emoji818]
Hivi nyie watu akili zenu mnaziachaga chooni? kuna maendeleo gan ya kufanya tuwe thread kwa nchi zinazoendelea? au hilo daraja la TZR na Ubo? 😬Huu ni wakati tunaotakiwa kumshukuru Mungu kwa yanayoendelea nchini sasa, rais hawezi kuuambia umma kila sababu ya maamuzi anayofanya ila watanzania tufike mahala tuelewe kuwa maendeleo yetu ni threat kwa nchi zilizoendelea
Narudia tena naomba unielewe nakama unielewi basi nawewe anzia alipo ishia Ben alafu urud kupost. Short and clear unapo simama nakusema vyeti vya Rais ni fake my dear unamgusa nyoka mwenye sumu kali na mm kamwe sishangai ukipotea. Democrasia ina kikomo pia hata Marekan leo yule mtoa ushahid wamazungumzo ya Rais amebadilisha sentence nenda kamuulize nn kimemkuta. Wakati mwingine tujiongeze haya nimaswala mazito na mm nilisema kwa sababu ninaufaham mkubwa ktk maswala ya usalama japo sio mmoja wao ila natoa tahadhari. Mbona kuna post humu zinafutwa natuna kaa kimya some time kujiongeza acha ujingaWe si ulitamba kumpoteza Ben8?!?
Kuua sio Kuvunja katiba?!?
Unaandika ulichokaririshwa bila kujali unaandika kwenye nini, Pumbaf!Bavicha mnahangaika bure
Yaani mabeberu waache Nazi zao washughulike na ajira ya MTU mmoja tu aliemaliza take kwa heshima?
We si ulitamba kumpoteza Ben8?!?
Kuua sio Kuvunja katiba?!?
Well kuna mambo ni siri lakini ni lazima sote tumuombe Mungu atuepushe na jinamizi la kuharibika uchumi wetu maana uchumi ukiparaganyika ni vigumu sana kuujenga kwa mara moja.