Ikulu, Chamwino: Rais Magufuli ateua Baraza la Mawaziri lenye Wizara 23. Aunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Kwani hilo ni baraza la dini au wanaangalia vigezo ?????????
Vigezooooooo!!!!
Unamaanisha Tanzania nzima kuna waislamu watatu tu Ndio wanakidhi Vigezo vya kua mawaziri???
Anyway I feel sorry kwa waswahili wenzangu waliokuwa wanamshadadia mtu anaeonyesha chuki za dhahiri kwetu
 
Naam umeona mbali sana. πŸ‘πŸ½
Mimi nilishaula tokea sijazaliwa.Ila Baraza lile acha kabisa......pale Mwugulu sasa anaandaa mswaada wa kuondoa ukomo wa madaraka kwa rais.
 
Tunasema katika baraza la watu 23 waislamu ni watatu haijawahi kutokea tangu Uhuru
 
Vigezooooooo!!!!
Unamaanisha Tanzania nzima kuna waislamu watatu tu Ndio wanakidhi Vigezo vya kua mawaziri???
Anyway I feel sorry kwa waswahili wenzangu waliokuwa wanamshadadia mtu anaeonyesha chuki za dhahiri kwetu
Mmehama kwenye HOJA za kura feki sasa mnarejea katika hisia KONGWE za UDINI ee?!!

Yaani ninyi ni KUHAMISHA MAGOLI TU...

Wangekuwa wako 20 ndipo hapo ROHO YAKO ingekuwa KWATUUU?!!si ndiyo?
 
Nasikitika jinsia haikuzingatiwa kabisa
 
Wakiristo watupu!
Juma Aweso, Ummy Mwalimu, Suleman Jaffo hao ni wakristu pia? Katika wabunge wote angalia ratio ya wakristu na Waislamu utapata jibu.

Waislamu Kuna kitu huwa hamtaki kukubali kuwa swala la elimu dunia hamkulipa kipaumbele toka zamani, wenzenu wakristu walienda sambamba elimu ya dini na elimu ya dunia. Kwa Sasa Waislamu ndo mmekuwa na mwamko wa elimu ya dunia wakati wakristu tayari wamepiga hatua kubwa. Kwa hiyo itachukua muda mrefu kuziba hilo pengo na kuwa na uwiano sawa wa wasomi.

Kwa hiyo kwa Sasa usitegemee kuwe na uwiano sawa katika uongozi ilihali hakuna uwiano sawa wa wasomi Kati ya Waislamu na wakristu.
 
Nini mantiki ya kuundwa wizara mpya ya Teknologia ya Habari, wakati huo huo kuna wizara nyingine ya Habari na wizara nyingine ya Technologia?
Unawezaje ukatenganisha technologia, habari na teknologia ya habari ?
 
Ilikuwepo wakati wa JK
Nini mantiki ya kuundwa wizara mpya ya Teknologia ya Habari, wakati huo huo kuna wizara nyingine ya Habari na wizara nyingine ya Technologia?
Unawezaje ukatenganisha technologia, habari na teknologia ya habari ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…