Ikulu, Chamwino: Rais Magufuli ateua Baraza la Mawaziri lenye Wizara 23. Aunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Japo siungi mkono serikali hii,nimefurahi kuachwa kwa kigwa fb,akomae na twitwa sasa
 
Asante Mhe. JPM ,kwa kikosi cha askari wa miavuli.Kazi inaendelee!
 
Teh teh amna kitu kina choma kama wahamiaji kuula afu wenyeji kutoswa
Ndani yule mganga wa jadi,H.kigwangala,
Alikuwa anashinda kwenye mitandao, anasifia na kuabudu jiwe.
 
Kigwangalla ajiandae na huko mitandaoni na shambani mbalali, wambea wote, wanafiki, wezi, waroho, wasaliti, wanamajungu, ndumila kuwili wote chini na mkizingua tunawaita tunawapa ushahidi wa matendo yenu yote.
 
Vigezooooooo!!!!
Unamaanisha Tanzania nzima kuna waislamu watatu tu Ndio wanakidhi Vigezo vya kua mawaziri???
Anyway I feel sorry kwa waswahili wenzangu waliokuwa wanamshadadia mtu anaeonyesha chuki za dhahiri kwetu
Chuki utakuwa nazo wewe mkuu, ila mie simo kwenye migongano ya dini
 
Naona ameteua parokia 98%

Sasa hapa wale Masheikh wa CCM ndo wajue kuwa Ponda ana akili sana na alikuwa anajua anapigania nini kumuunga mkono Lissu!

Lissu asingekuwa mdini kama Jiwe, Jiwe ana chuki kali sana kwa waislamu ila anajua namna ya kucheza na Masheikh "jina" akina Alhadi kucover nyendo zake!
 
Kaka kigwa jee?
 
Zaidi ya 80% ya wajumbe wa baraza hili la mawaziri ni wanaume.
Nadhani ile sera ya usawa wa kijinsia katika ngazi za juu za kimaamuzi huenda ilishakufa na sasa inazikwa rasmi na utawala wa awamu ya tano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…