Ikulu, Chamwino: Rais Magufuli ateua Baraza la Mawaziri lenye Wizara 23. Aunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

Ndo Mana chadema wanatakiwa kuwa naye makini Sana huyu ni mtu wa ndani kabisa n apengine ana baraka zote kutoka huko jikoni
 
Katika baraza hili lenye mawaziri 23 kwa haraka haraka
-Wanawake 4 (wanaume 19)
-?Waislamu 2 (?Wakristo 21)
-Mchaga 1 (Wasukuma 5+)
-Mzanzibar 0 (watanganyika 23)
 
Halafu nawe unawaza kuna siku utakabidhiwa Tanzania kama kiongozi, kwa fikira hii, hata "unywe gongo ya mapapai" huwezi kuwa!! Umejitakia mwenyewe laana hii. Hakuna namna.
Hivi mnawachukuliaje Waislam? Ingekuwa wameteuliwa Wakristu 3 na Waislam 19 mngenyamaza nyie manaswara? Au mngekuwa mnafundishana ubaguzi wa serikali kwenye vigango vyenu saa hii?
 
Otherwise alichofanya ni kubashiri tu kwa kuangalia trend ya Jiwe ya kufanya teuzi siku za mwisho wa week.
usichukulie kirahisi hivyo, hata ya covid 19 aliisema sana kuwa wanakwenda bungeni viti maalum...ikatokea. It is not a single event alizobashiri ; and coincidence can not fall on Kigogo at all times!
 
Kigwangala wajumbe hawakumuona au?
 
Katika baraza hili lenye mawaziri 23 kwa haraka haraka
-Wanawake 4 (wanaume 19)
-?Waislamu 2 (?Wakristo 21)
-Mchaga 1 (Wasukuma 5+)
-Mzanzibar 0 (watanganyika 23)
Mchagga ni yupi hapo?

Nimejaribu kucheki surname sioni
 
Ndo Mana chadema wanatakiwa kuwa naye makini Sana huyu ni mtu wa ndani kabisa n apengine ana baraka zote kutoka huko jikoni
mimi siwezi kumdharau, akisema kitu nitachukua tahadhali
 
Duu Baraza la Mawaziri la Tanzania mbona halina Wazanzibar? halafu halija balance kwa misingi ya imani!

Msifikiri naangalia kwa ubaguzi lakini ukweli lazima tuuseme haya ni maoni yangu!
 
Kama umeweza kuwaza kidini na ukahitimisha kuwa wakristo wanastahili zaidi kwa sababu wamesoma na kuelimika zaidi, sasa Waza pia kikabila halafu chambua hivyo hivyo, na tumia sampuli ya makabila ya wachaga(Northen zone) vs wasukuma (Lake zone) kwenye teuzi hizi za leo au hapo kabla.

Nasubiri uchambuzi wako hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…