IKULU CHAMWINO: Rais Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Kamati Kuu Ya Halmashauri Kuu ya CCM Tanzania

NCHI ilishayumba kitambo inajikongoja kwa Tumikopo kutoka China na Uarabuni
 
Hivi hatuwezi kama taifa kukubaliana rais Putin atuteke tuwe sehemu ya Urusi?
 
Ndio maana foleni ya leo haikuwa ya mchezo nimetika Chamwino asubuhi saa hizi ndio naingia Tabora hoi bin taabani natafuta Parking nilale.

Kwakweli Viongozi wetu wawe wanatuonea huruma na sisi Madereva wa long safari
 
Ndio maana foleni ya leo haikuwa ya mchezo nimetika Chamwino asubuhi saa hizi ndio naingia Tabora hoi bin taabani natafuta Parking nilale.

Kwakweli Viongozi wetu wawe wanatuonea huruma na sisi Madereva wa long safari
Uko Tabora Maeneo gani Mjomba?
 
Waluvyokakamaa kwenye hivyo vitu Utafikiri wakitoka hapo kutakuwa na maajabu
 
Vikao vya ccm Kamati kuu kufanyika Ikulu....
Mhhhh
Tanzania sihami[emoji1787][emoji1787]
 
Kuna watu ambao siku zote hawaoni jema lolote linalofanywa na serikali wanalaumu na kukosoa kila kitu, na mara nyingi watu wa aina hii hata kuongoza watu watatu tu hawawezi, yaani mke wake na watoto wake wawili.
 
Kwa nini kikao cha Kamati Kuu Ya Halmashauri Kuu ya CCM Tanzania kinafanyikia Ikulu ?

Je chadema nao wakiwa na kikao cha kamati kuu ya Halmashauri kuu wanaruhusiwa kufanyoa kikao Ikulu?
Je Ikulu ni mali ya nani? Nimeuliza tu.
Kwa sababu Rais wa Nchi ndio huyo huyo Mwenyekiti wa chama chake !! Nadhani Sheria au kanuni za hapo Ikulu zinamruhusu kufanya hivyo !! Nimesema nadhani. !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…