IKULU CHAMWINO: Rais Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Kamati Kuu Ya Halmashauri Kuu ya CCM Tanzania

Haya KAZI iendelee!

Mkumbuke na mchakato wa Katiba Mpya ni sehemu ya KAZI pia!!

"Ajaye asije akaharibu tena, Katiba mpya ni muhimu"
 
Vikao vya chama vinafanyika ikulu 🤔🤔🤔🤔 ukiwatazama hapo utasema ni watu wa maana kumbe 🚶🚶🚶🚶🚶🚶🚶
 
Haya KAZI iendelee!

Mkumbuke na mchakato wa Katiba Mpya ni sehemu ya KAZI pia!!

"Ajaye asije akaharibu tena, Katiba mpya ni muhimu"
Mkuu kutokana na legacy ya mwenda zake wenyewe ndani ya nafsi zao wataleta katiba mpya. Maana hawana uhakika na vijana wao wanaojilimbikizia mali kama akiibuja jiwe look a like kuongoza nchi watabaki salama. Paschal alitabiri humu kuwe jiwe ndio atasababisha tupate katiba mpya. Maana matajiri wengi walijikuta behind bars under Economic and financial crimes division court.
Katika kiumbe amshukuru mungu wake ni mchechu iliba kidogo jiwe angempandisha mahakamani. Asali na arudishe fadhila kwa waliomtetea kwa jiwe asifanye hivyo
 
Nimeanza kurejesha imani yangu...kwa Mama..Mungu azidi kukulinda
 
Kipindi cha pili awamu ya tano kingekuwa ni kipindi cha patashika nguo kuchanika kwa wale walioihujumu hii Nchi !! Hata wangekuwa ni akina nani !! Nadhani ingekuwa hivyo ! Nimesema Nadhani tu !!
 
Tunashukuru kwa taarifa.

Tunasubiri mrejesho wa kikao hicho.

Kama inahusu uteuzi wagombea wa CCM mikoa na Taifa hakika hakutakuwa na jipya zaidi ya kuimarisha team za mahasimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…