IKULU CHAMWINO: Rais Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Kamati Kuu Ya Halmashauri Kuu ya CCM Tanzania

Tunashukuru kwa taarifa.

Tunasubiri mrejesho wa kikao hicho.

Kama inahusu uteuzi wagombea wa CCM mikoa na Taifa hakika hakutakuwa na jipya zaidi ya kuimarisha team za mahasimu
Hapo ndo watakapoanza kuchemka watakapopitisha team ya 2025 halafu mtu mwenyewe hakubaliki na wanachama tayari kukiorganize chama kwa upande wa mkoa inakuwa ni ngumu sana!
 
Hapo ndo watakapoanza kuchemka watakapopitisha team ya 2025 halafu mtu mwenyewe hakubaliki na wanachama tayari kukiorganize chama kwa upande wa mkoa inakuwa ni ngumu sana!
Hela itachotwa ili kuwahonga wanaopiga piga kelele.

Kansa ni ugonjwa mbaya sana
 
Chama cha Watu hiki
 
Wewe unakula katiba?
CCM hawataki kusikia katiba mpya kabisa, kweli katiba mpya sio chakula lakini ndio msingi wa mambo yote katiba nchi husika hata hizo sera za uchumi nzuri zitatoka kwenye katiba nzuri, viongozi waadilifu na wawajibikaji watapatikana endapo Sheria mama itakuwa imara. Nimeona hoja kuwa katiba mpya ni hoja ya CCM, mtu aliesoma Cuba ataelewa mmeona hoja ni nzito hamwezi tena kuipinga mnataka muichukue iwe ya kwenu ili mtengeneze katiba yakuwafeva..

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Safi Sana Mama Samia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…