Ikulu, Dar es Salaam: Rais Samia apokea taarifa ya Kikosi Kazi cha Kuratibu Maoni ya wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa

Angejua kwamba watanzania wamemchoka hata Miaka mitano haijaisha asingesema hivyo .

maisha magumu Kila bidhaa inapanda kwa kasi
 
Huwezi kumlinganisha Mama na yule fashisti muuwaji.

Tunakosowa pale yanapofanyika yasiyo sahihi, siyo kusifu na kuabudu tu kama alivyokuwa akitaka yule fashisti dikteta uchwara.
Sasa utulie, si fashist hayupo?

Utulie sasa mama aupige mwingi

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Maprofesa wanajua kujishusha hadhi sana.

Profesa mzima unafikiri katiba ndiyo ifuate mpango wa maendeleo?

Mpango wa maendeleo unapaswa kuifuata katiba na si vinginevyo.

Maprofesa mnajiaibisha kwa kuwa very cheap na kuwaabudu wanasiasa.

Soon dunia itawadharau... mtakaa kapu moja na wanawake wanaouza miili yao.
 
..Wamejipanga Sana hawa watawala.
 
Wasio kuwa na uelewa wa elimu ya siasa na uzalendo ni serikali chini ya uongozi wa CCM.

Wananchi ni waelewa, maovu yaonekayo ni stress kutokana na mbinyo wa kutawaliwa na mfumo ulio ikosesha nchi maendeleo kwa miaka 60!
 
Huyu bmkubwa nadhani kila uchwao anazidi kukengeushwa na wanaojiita maprofeseri!
 
Huu ndio ujinga uliowajaa vichwani mwenu, kiongozi yeyote yule anapokosea anakosolewa awe wa upinzani au serikalini.

Mlivyo wajinga mlikuwa kama kikundi cha tarumbeta cha kusifu na kuabudu tu.
Acha hasira wewe!

Tulia mama aupige mwingi!

Fashist hayupo

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]

Pep kwa style hii sitakwenda kupoteza nguvu kupiga kura
 
Reactions: Pep
Huu ndio ujinga uliowajaa vichwani mwenu, kiongozi yeyote yule anapokosea anakosolewa awe wa upinzani au serikalini.

Mlivyo wajinga mlikuwa kama kikundi cha tarumbeta cha kusifu na kuabudu tu.
Eti kikundi cha tarumbeta[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Pep
 
Reactions: Pep
Huyu mama ana wazimu nini? Anaposema kikosi kazi kimejihakikishia kufanya nae kazi kwa miaka 9 ijayo anamaana gani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtamuelewa ikifika 2025
 
Huyu mama ana wazimu nini?

Anaposema kikosi kazi kimejihakikishia kufanya nae kazi kwa miaka 9 ijayo anamaana gani?
Anajuwa vizuri yeye na Magufuli waliingia vipi madarakani uchaguzi na Lowasa ndio sababu Magufuli akafuta kabisa habari za uchaguzi.

Wenyeviti wote wa serikali za mtaa hakuna aliyechaguliwa na pia mama anajuwa vizuri haitaji kura kutangazwa mshindi.

Africa mashariki yote ni Kenya peke yake ndio kila kura inahesabiwa na ni uchaguzi kweli siyo kiini macho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…