Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Tuanze na katiba ya Chadema!
😂😂😂Kapigwa BANI anachungulia nje kama Nguchiro
Kumbe! SijajuaKapigwa BANI anachungulia nje kama Nguchiro
Mama akaleta mapishi mapya.Hii ndio aina ya siasa tunayoitaka Tanzania. Scientific politics. Kukubali siasa ziondoe ubinadamu wetu ni tatizo kubwa lililokuwa linatunyemelea. Safi kabisa.
Assume kama tungeomba msamaha.Karibu Katiba Mpya Nchini Tanzania
Teh teh tehCovid19 Pichu zimelowa muda huu
Siasa bhana hapo bibi anaonekana humble na kindly basi atasifiwa na kujipatia ka gepu fulani moyoni kwa watu fulani fulani
Definitely YES..Ssh kaamua kumuomba msamaha Fam.