Ikulu, Dar: Rais Samia akutana na Freeman Mbowe

Ikulu, Dar: Rais Samia akutana na Freeman Mbowe

Binafsi sijui hata nijifunze kipi katika hayo yote?
Kama mbowe sio gaidi (na pengine ndivyo ilivyo) lakini nakumbuka 'mama' alisema kuna viashiria vya ugaidi hapa nchini, je wahusika ni akina nani?
Kwa kifupi kesi imeacha maswali mengi kwa watz walio wengi
 
Naona hili pia lilikua kwenye makubaliano. Niki kutoa tu break ya kwanza uje Ikulu unipe coverage na mimi rejea kwa ndugai
 
Binafsi sijui hata nijifunze kipi katika hayo yote?
Kama mbowe sio gaidi (na pengine ndivyo ilivyo) lakini nakumbuka 'mama' alisema kuna viashiria vya ugaidi hapa nchini, je wahusika ni akina nani?
Kwa kifupi kesi imeacha maswali mengi kwa watz walio wengi
Politikisi zetu pasua kichwa
 
Katika ulimwengu wa siasa siku moja ni sawa na mwaka.

Salamu ziwafikie wanafiki wote.

Mbowe angekua hajaoa ningempa binti yangu bure.

Lina heri tumbo lililomzaa Freeman Haikaeli Mbowe...

Lina heri tumbo lililomzaa Tundu Lissu

Namheahimu sana Samia Suluhu Hassan.
Maneno Mazito sana Haya Mungu akubariki
 
Uvccm wamenuna..wanaanda maigizo mengine ili wanate na biti la sasa...

#MaendeleoHayanaChama
 
Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) Zitto Kabwe amesema kukutana kwa Mwenyekiti wa @ChademaTz Mhe. @freemanmbowetz na rais @SamiaSuluhu ikulu ni miongoni mwa jitihada alizokuwa anazifanya yeye binafsi. 😁😁😁😁😁
Mkuu unenichekesha usiku huu eti juhudi zake binafsi😬😂😂😂
 
Naiona Tanzania Mpya hii hapa...
Mwendazake alituelekeza mkondo wa kuzimu!
Sasa tushikamane sote tudai uhuru kamili tusonge mbele na ujenzi wa taifa letu!
Kudai uhuru ni kuwapa wachaga madara, wasipokuwa na madaraka Taifa halipo guru. Ndiomaana hata Lowasa akawa sio mafisadi tena alipojiunga na wachaga wenzie kudai uhuru wa wachaga
 
Binafsi sijui hata nijifunze kipi katika hayo yote?
Kama mbowe sio gaidi (na pengine ndivyo ilivyo) lakini nakumbuka 'mama' alisema kuna viashiria vya ugaidi hapa nchini, je wahusika ni akina nani?
Kwa kifupi kesi imeacha maswali mengi kwa watz walio wengi

..Ssh pia alisema " watuhumiwa wenzake " Fam wameshahukumiwa, kitu ambacho si kweli.

..sasa kama amemuita Ikulu maana yake ni kuomba mapatano na Fam kwa unyanyasaji aliofanyiwa.
 
Back
Top Bottom