Ikulu, Dar: Rais Samia akutana na Freeman Mbowe

Ikulu, Dar: Rais Samia akutana na Freeman Mbowe

04 March 2022
Ikulu
Dar es Salaam, Tanzania

RAIS Samia Suluhu leo Machi 04, amekutana na kuzungumza na mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, ikulu Dar.



Source : Global TV online
 
Maza Mizinguo anayakumbuka aliyosema BBC, au tuache kukumbushana sasa!

Ule haukuwa utoto?
 
Naongezea ni Mwanaume mwenye Uwanaume ndani yake
Mwanamke ndiye asiye na uanaume ndani yake ila wanaume wote wana uanawake ndani yao na ndio maana wao ndio wenye kutuletea watoto wa kiume ama wa kike.......

"Mwamba tuvushe" ndembendembeee
 
[emoji16][emoji16][emoji16].wale wazee wa HASHTAG hamuwezi elewa.
Mchana niliwaambia humu mtu kafika bei.
 
LEGACY MPYA YA AWAMU YA SITA, YAANZA KUJIJENGA ?

Hakika nchi hii inahitaji haki ili mambo yaende vizuri.

Huku kujongeana na kufanya mazungumzo baina ya viongozi wa vyama vikuu vya siasa Tanzania kunaleta matumaini mapya ktk siku zijazo.
 
Back
Top Bottom