mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,309
- 4,798
Wanaongelea mambo ya uchumi wa nchiRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mazungumzo tarehe 09 Mei, 2022.
View attachment 2218354
Mbowe akutane na mwenyekiti wa mataga wavimbe mataga!!?Mataga mmevimba .....ndo muerewe Chadema ni Taasisi kubwa sana
Ni jambo jemaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mazungumzo tarehe 09 Mei, 2022.
View attachment 2218354
Kawaida yake.Mbna DJ anaanza kupigwa nyingi!!!