IKULU, Dar: Rais Samia na Freeman Mbowe wakutana na kufanya mazungumzo leo Mei 9, 2022

IKULU, Dar: Rais Samia na Freeman Mbowe wakutana na kufanya mazungumzo leo Mei 9, 2022

Mataga mmevimba .....ndo muerewe Chadema ni Taasisi kubwa sana
Hata Membe leo amekuwa Ikulu ,, kabla ya Ijumaa tumepanga Zitto naye aonane na Mama !!

Mzungumzo haya Mama amemwambia Mbowe kwamba wanayafanyia kazi mapendekezo yao Lakin pia wamegusia Suala la COVID 19 Bungeni

Pia kuna mtu anakula kitengo soon
 
Hii caption ya Kada wa chadema imenishtua, Kwani Samia ndiye anaiongoza kamati kuu?
Screenshot_20220509-223230.png
 
Inapendeza mradi matokeo yaonekane
Hawa ni viongozi, matokeo yataonekana, lakini sio lazima mimi na wewe tujue. Tena tutaona mazuri mengi bora Mh.Mbowe amekirudisha chama kwenye mikono yake na kupunguza nguvu za wale magaidi na wakimbizi
 
Back
Top Bottom