IKULU, Dar: Rais Samia na Freeman Mbowe wakutana na kufanya mazungumzo leo Mei 9, 2022

Inatushwa Al-Jazeera then IMF wana achia fungu. Hiyo ndio Tz. End
 
Hata Membe leo amekuwa Ikulu ,, kabla ya Ijumaa tumepanga Zitto naye aonane na Mama !!

Mzungumzo haya Mama amemwambia Mbowe kwamba wanayafanyia kazi mapendekezo yao Lakin pia wamegusia Suala la COVID 19 Bungeni

Pia kuna mtu anakula kitengo soon
Naokoti hii kusubiri hiyo teuzi
 
Habari kama hizi wale sukuma gang hawapendi kabisa kuzisikia.
 
"Safi sana" and Yes.The era of enmity is over. It is a conformity to international pressure. It is also a proper environment for the Royal Tour initiative to provide desired results. Bravo "Mama", bravo Freeman.
 
Mama ukitaka kupita kwa usalama (Kutoboa) nchi hii na ukakaumbukwa FANYA KAZI NA WAPINZANI, huko CCM kumejaa wanafiki watupu - leo hii washaanza kukurushia madongo eti kwamba unacheza muvi badala ya kujenga nchi, afu kila siku kaguru na njia unaacha watoto hawana hata unga wa kukoroga uji.
 
Angekuwa Zitto hapo, sipati picha vijana wangelipukaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…