Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Saute Mkubwa...umeona mbali sanaUkimya wa Mbowe Kwa yanayoendelea nchini kama GT natumai Kuna makubaliano Fulani yamefikiwa juu ya upatikanaji wa KATIBA mpya. Muda utaongea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saute Mkubwa...umeona mbali sanaUkimya wa Mbowe Kwa yanayoendelea nchini kama GT natumai Kuna makubaliano Fulani yamefikiwa juu ya upatikanaji wa KATIBA mpya. Muda utaongea.
Yaani machawa wa lumumba kina itwege kama nawaona walivyonuna.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mazungumzo tarehe 09 Mei, 2022.
MuerrrrreweMataga mmevimba .....ndo muerewe Chadema ni Taasisi kubwa sana
ukumbusho tu.,...huyo kaenda kuongelea buzness zake,Kama ni kwa mambo yake binafsi picha za nini?
Ukiwemo na wewe pia chawa la lumumba.Kuna wanaharakati njaa kule Twita wamechukia sana kuona hizi picha[emoji28]
baerrrreweMuerrrrrewe
Ma mdogo🤣🤣🤣🤣🤣🤣..
Ma mdogo🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Haya sasa ninunulie pedi!
Inatushwa Al-Jazeera then IMF wana achia fungu. Hiyo ndio Tz. EndRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mazungumzo tarehe 09 Mei, 2022.
Naokoti hii kusubiri hiyo teuziHata Membe leo amekuwa Ikulu ,, kabla ya Ijumaa tumepanga Zitto naye aonane na Mama !!
Mzungumzo haya Mama amemwambia Mbowe kwamba wanayafanyia kazi mapendekezo yao Lakin pia wamegusia Suala la COVID 19 Bungeni
Pia kuna mtu anakula kitengo soon
Vipi mmenuna?Juisi ya mjengoni tamu
Vipi mmenuna?
"Safi sana" and Yes.The era of enmity is over. It is a conformity to international pressure. It is also a proper environment for the Royal Tour initiative to provide desired results. Bravo "Mama", bravo Freeman.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mazungumzo tarehe 09 Mei, 2022.
Usikose kuangalia ratiba mpya ya kulinda na kufanya usafi malaloni Burigi.Haya ndo mambo Chadema waliyakosa awamu ya tano. Wanapenda Sana juisi za Ikulu.
Wewe kama mimi tu, wanaongea nini hawa kila siku? au bei ya wese?Sijaelewa