IKULU, Dar: Rais Samia na Freeman Mbowe wakutana na kufanya mazungumzo leo Mei 9, 2022

Mbona wewe ni member tokea 2015?
 
Tatizo la Wanaharakati haijulikani nini wanataka na nino hawataki
 
Huo ni uchochezi,au tukuite mchukia Chadema na awamu ya sita au nikuite like kundi linalotaka kujitenga almaarufu Sgang
 
Kuna jambo litatokea ktk kikao cha kamati kuu CCM na baraza kuu!natabiri hvo!why aonane na mama siku moja kabla ya kikao cha kamati kuu!kuna jambo lipo!!!
 
Hureeeeee ,
Hii ndiyo Tanzania tuliyo izoea ambayo miaka mi5 iliyo pita ilihujumiwa na makaburu weusi lakini Mungu wetu Yu hai akatufanyia mapinduzi baridi bila kumwaga Damu.
 
(In Mama voice)Tuna miaka 3 tu Kama sio miwili na nusu imebaki mmejipangaje wenzentu huko....halafu wasiojua wala kufuatilia mambo wanaambiwa
tuandamane nao hao.
Mhhh, mtapata tabu Sana msipo kubali mabadiliko kuwa Tanzania ya leo HAKUNA watu wasiojulikana ,HAKUNA maiti zinazo okotwa ktk viroba ,HAKUNA watu kupotezwa,HAKUNA kupigwa risasi hovyo nk.
Badilikeni vinginevyo muunde serikali ya Chaltle Province.
 
Real good governance. Mama tutengenezee Tanzania mpya. Tuwe kama Kenya. Hawa wapo kwe baraza la usalama UN eti. Sisi tunaboronga kila kitu.
 
Mhhh, mtapata tabu Sana msipo kubali mabadiliko kuwa Tanzania ya leo HAKUNA watu wasiojulikana ,HAKUNA maiti zinazo okotwa ktk viroba ,HAKUNA watu kupotezwa,HAKUNA kupigwa risasi hovyo nk.
Badilikeni vinginevyo muunde serikali ya Chaltle Province.
Mbona unanibambikia kesi umenielewa nilichomaanisha au umekurupuka...Nawaambia ndugu zangu wasiojua kua siasa za bongo hazina uhasama huo wanaouchukulia wananchi wasio ijua siasa.
 
Huyu mzee muda huu wananchi wanajipambania wenyewe kuhusu bei ya petroli na mfumuko wa bei yeye kila siku anapiga piga picha tu alafu baadae uje kujiliza liza kwa wananchi.
Kwenye shida zenu ndio mnaikumbuka Chadema sio,mkiwa hamna shida mnaiponda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…