Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asifiaye mvua umemnyesheaJuisi ya mjengoni tamu
Kama unadhani swala la katiba mpya ni jambo binafsi la Mbowe na Chadema na kuonea huruma.Tangu atoke jela, sijasikia kongamano la katiba mpya tena. Nasikia tu vimaneno maneno kuhusu katiba mpya huku mwenye mitandao. Hivi vimaneno vya kwenye mitandao vinatosha kweli kutuletea katiba mpya?
Matokeo gani tena tufahamisheInapendeza mradi matokeo yaonekane
Asifiaye mvua umemnyeshea
Ni akili ya ki masikini
Kuongelea masuala ya Juice Ikulu
inatafutwa nafasi ya Mukya bungeniNadhani Mama anataka maelewano zaidi katika issue ya wale Covid 19 mjengoni.
So wewe unawashwa wapi ukunwe? Fanya yako mkuu acha ujinga
Yaani unam judge mtu kutokana na pozi? Ulitaka atoe pozi lipi?Pozi la mtu aliyenyoosha mikono baada ya njaa kumg'uta huwa yanaonekana wazi. Chadema njaa imewanyoosha.
Msitegemee kusikia maslahi ya taifa au katiba mpya yakitetewa na Mbowe au Chadema.
View attachment 2218724
Wabongo kwa kusagia kunguni ni mabingwa haswaa.View attachment 2218719
Kama ambavyo tunajua hii ni awamu maarufu kwa kulamba asali.
Ukipiga kelele kidogo unapewa asali ulambe.
Swali nalojiuliza kwa nini Mbowe anaenda kila siku kimya kimya kulamba asali peke yake?
Makamanda wenzie wataanza kulambishwa asali lini?
Ndio level yake ya kufikiria. Mtu mwenye njaa hawazi zaidi ya chakula tu.Asifiaye mvua umemnyeshea
Ni akili ya ki masikini
Kuongelea masuala ya Juice Ikulu
Akina Kheri Jemes et alKuna wanaharakati njaa kule Twita wamechukia sana kuona hizi picha😅
Roho na ikuume tu. Sisi tunasonga mbele.Pozi la mtu aliyenyoosha mikono baada ya njaa kumg'uta huwa yanaonekana wazi. Chadema njaa imewanyoosha.
Msitegemee kusikia maslahi ya taifa au katiba mpya yakitetewa na Mbowe au Chadema.
View attachment 2218724
Nakubaliana na weweMbowe na mama kwa pamoja wanaweza, wote ni kitu kimoja wanajenga tz nchi imara.
maccm ndio yamefura huko kama mbogo. Huku mengine yakitupwa jelaBavicha endeleeni kutukana humu na kule Twita wakubwa zenu wakikutana wanakunywa kahawa wanacheka na kupiga picha pamoja.