IKULU, Dar: Rais Samia na Freeman Mbowe wakutana na kufanya mazungumzo leo Mei 9, 2022

IKULU, Dar: Rais Samia na Freeman Mbowe wakutana na kufanya mazungumzo leo Mei 9, 2022

Tangu atoke jela, sijasikia kongamano la katiba mpya tena. Nasikia tu vimaneno maneno kuhusu katiba mpya huku mwenye mitandao. Hivi vimaneno vya kwenye mitandao vinatosha kweli kutuletea katiba mpya?
Kama unadhani swala la katiba mpya ni jambo binafsi la Mbowe na Chadema na kuonea huruma.
Katiba mpya ni utetezi wa wananchi na kutopatikana Kwake ni hasara kwa mwananchi
 
Bavicha endeleeni kutukana humu na kule Twita wakubwa zenu wakikutana wanakunywa kahawa wanacheka na kupiga picha pamoja.
 
Kuhusu hii mikutano ya Mbowe kwenda ikulu, naona tusiache hisia zetu kutawala akili zetu, kwa kawaida mwanadamu huwa haridhiki kwa chochote, wakati Mbowe akitaka maridhiano akanyimwa mlilalamika, leo mikutano imekuwa mingi mnalalamika tena.

Tuache muda uje kuamua kama hiyo mikutano itakuwa na tija au hapana.
 
View attachment 2218719

Kama ambavyo tunajua hii ni awamu maarufu kwa kulamba asali.

Ukipiga kelele kidogo unapewa asali ulambe.

Swali nalojiuliza kwa nini Mbowe anaenda kila siku kimya kimya kulamba asali peke yake?

Makamanda wenzie wataanza kulambishwa asali lini?
Wabongo kwa kusagia kunguni ni mabingwa haswaa.
 
Kuna wanaharakati njaa kule Twita wamechukia sana kuona hizi picha😅
 
Bavicha endeleeni kutukana humu na kule Twita wakubwa zenu wakikutana wanakunywa kahawa wanacheka na kupiga picha pamoja.
maccm ndio yamefura huko kama mbogo. Huku mengine yakitupwa jela
 
Back
Top Bottom