Duh.Tunapenda sana kuboresha mahisiano ila yasiwe ya kinyonyaji...kwa miaka mingi wakenya wamekuwa wakiyuhujumu katika tasnia ya utalii hata madini.
Wao ndio wamekuwa wanasoko kubwa la uuzaji wa Tanzanite kinyemela mpka ilifikia hatua..mataifa ya nje yakajua Tanzanite.
Ila kipindi cha JPM walinyooka...Hawa watu ni majirani ila umakini unahitajika sana.
Hata kipindi cha Nyerere tumewahi kuwafungia mipaka...hawa ni ndumilakuwili.
Hata kufa kwa EAC ya kwanza...hawa ndio waliochota raslimali nyingi. Sijui sisi tunakwama wapi.
Tanzania kwa ajili ya Watanzania; Waafrika na Walimwengu wote watakaofata taratibu zetu.
Tatizo sio wao ni viongozi wetu wanatunga sheria za kufilisi Watanzania, hivyo inabidi watoroshe madini wakauze kenya, sasa unawalaumu wakenya ndio walikuja kututungia sheria?Tunapenda sana kuboresha mahisiano ila yasiwe ya kinyonyaji...kwa miaka mingi wakenya wamekuwa wakiyuhujumu katika tasnia ya utalii hata madini.
Wao ndio wamekuwa wanasoko kubwa la uuzaji wa Tanzanite kinyemela mpka ilifikia hatua..mataifa ya nje yakajua Tanzanite.
Ila kipindi cha JPM walinyooka...Hawa watu ni majirani ila umakini unahitajika sana.
Hata kipindi cha Nyerere tumewahi kuwafungia mipaka...hawa ni ndumilakuwili.
Hata kufa kwa EAC ya kwanza...hawa ndio waliochota raslimali nyingi. Sijui sisi tunakwama wapi.
Tanzania kwa ajili ya Watanzania; Waafrika na Walimwengu wote watakaofata taratibu zetu.
Kumshauri among other things how to handle Corona?Ngoja tusubiri.Leo tarehe 10 April 2021. Mjumbe maalumu wa rais wa jamhuri ya watu wa Kenya atamtembelea mama Samia Suluhu kwa mazungumzo maalumu. View attachment 1748214
Acha uchonganishi we mbongo.Tunapenda sana kuboresha mahisiano ila yasiwe ya kinyonyaji...kwa miaka mingi wakenya wamekuwa wakiyuhujumu katika tasnia ya utalii hata madini.
Wao ndio wamekuwa wanasoko kubwa la uuzaji wa Tanzanite kinyemela mpka ilifikia hatua..mataifa ya nje yakajua Tanzanite.
Ila kipindi cha JPM walinyooka...Hawa watu ni majirani ila umakini unahitajika sana.
Hata kipindi cha Nyerere tumewahi kuwafungia mipaka...hawa ni ndumilakuwili.
Hata kufa kwa EAC ya kwanza...hawa ndio waliochota raslimali nyingi. Sijui sisi tunakwama wapi.
Tanzania kwa ajili ya Watanzania; Waafrika na Walimwengu wote watakaofata taratibu zetu.
Nawatakia kila la heri katika mazungumzo yao.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan atakutana na mjumbe maalum (Special envoy)wa Rais wa Jamhuri ya Kenya Uhuru Kenyatta leo katika ikulu Dar Es Salaam.
Uhusiano Kati ya Kenya na Tanzania ni moja Kati ya masuala yanayotarajiwa kupewa kipaumbele ikizingatiwa kuwa urafiki wa nchi hizi mbili 'ulivurugika' Sana katika kipindi cha Hayati Rais John Pombe Joseph Magufuli.
Ikumbukwe siku zote Rais Kenyatta amesisitiza kuwa Tanzania ndiyo taifa muhimu zaidi kwake na halioni kama mshindani bali kama mshirika wa kimkakati(Strategic partner).