IKULU-DAR: Rais Samia Suluhu akutana na Mjumbe Maalumu wa Rais Uhuru Kenyatta. Rais Samia aalikwa rasmi kuzuru Kenya ili kukuza ushirikiano

IKULU-DAR: Rais Samia Suluhu akutana na Mjumbe Maalumu wa Rais Uhuru Kenyatta. Rais Samia aalikwa rasmi kuzuru Kenya ili kukuza ushirikiano

I don't trust Uhuru Kenyatta, anatumiwa vibaya sana na nchi za Magharibi.Na siajabu huyo mjumbe kaleta ujumbe maalum kutoka kwa mabeberu.
 
Tunapenda sana kuboresha mahisiano ila yasiwe ya kinyonyaji...kwa miaka mingi wakenya wamekuwa wakiyuhujumu katika tasnia ya utalii hata madini.

Wao ndio wamekuwa wanasoko kubwa la uuzaji wa Tanzanite kinyemela mpka ilifikia hatua..mataifa ya nje yakajua Tanzanite.

Ila kipindi cha JPM walinyooka...Hawa watu ni majirani ila umakini unahitajika sana.

Hata kipindi cha Nyerere tumewahi kuwafungia mipaka...hawa ni ndumilakuwili.

Hata kufa kwa EAC ya kwanza...hawa ndio waliochota raslimali nyingi. Sijui sisi tunakwama wapi.

Tanzania kwa ajili ya Watanzania; Waafrika na Walimwengu wote watakaofata taratibu zetu.
Mbona hamjiamini Mwacheni mama afanye kazi .Simliipa serikali hii 80 percent ya kura .Tulia sasa
 
Muigai ni mjanja sana mpaka kamtuma huyo Dada wa Kisomali Dk.Amina basi kuna jambo zito sio bure

Ngoja tuje kusikia Bomba la Hoima likirudishwa kupitia Kenya
 
Siasa hizo za kikomunisti zishapitwa na wakati kwenye ulimwengu huu...
Anayekuambia siasa za Ki-communist zimepitwa na wakati ni mwalimu wa vipofu.Mkuu tunaelekea as we speak to a One World Government,where Communism modelled on the Chinese system will be the political system.
 
I don't trust Uhuru Kenyatta, anatumiwa vibaya sana na nchi za Magharibi.Na siajabu huyo mjumbe kaleta ujumbe maalum kutoka kwa mabeberu.
Sasa wewe una nini!?? Bado mna magumentality...itawaisha tu. Subirini.
 
Tunashukuru sana kwa ugeni huo ila tuwe makini sana na wakenya. Hawana upendo na sisi Tanzania. Wako kimaslahi yao. Tz ni dampo lao pia.
 
Sasa wewe una nini!?? Bado mna magumentality...itawaisha tu. Subirini.
Yaani ukweli unauita Magu mentality.Funny.Kwa ni Magu ndiye aliyeanzisha rational thinking,logic and right way of doing things.Acheni chuki binafsi.
 
Yaani ukweli unauita Magu mentality.Funny.Kwa ni Magu ndiye aliyeanzisha rational thinking,logic and right way of doing things.Acheni chuki binafsi.
You have two Options... Either change your mentality and walk with the Madam President or Die...
 
Hao wakenya was.enge sio wa kuwachekechekea..yaani wanatuharibia soko letu la mahindi halafu tunawachekea!
 
He started nothing but HATE.
Mna matatizo binafsi! Mbona mimi sioni kwamba kaleta hate,but rather ka-instill the right way of doing things and thinking.Yes alikuwa na makosa yake na matatizo yake,but overall he was best.He wished Tanzania and Tanzanians well,sio kama akina Mkapa na Kikwete,ambao walikuwa wakwapuaji tu.Tatizo ni kwamba you are heavily indoctrinated by the West.
 
Kumshauri among other things how to handle Corona?Ngoja tusubiri.
Yupi wa kumshauri mwenzie jinsi ya ku handle CORONA, after all Kenya ime-fail miserably jinsi ya ku-handle badala yake inasambaa like wild fire licha ya kuweka lock down na kuhimiza uvaaji wa face masks kwa muda mrefu!!

Wakenya hao hao ndiyo waliruhusu Kampuni ya Oxford kufanya majaribio ya chanjo zao kwa baadhi ya raia wa Kenya - baada ya muda tunambiwa Kenya pamehibuka kovid variant ambayo ni highly contiguous and more virulent!! Variant kama hiyo imekumba vile vile South Africa na Brazil kama sikosei, ukichunguza kiundani utagunduwa kwamba yaliyo kubali baadhi ya raia wao kufanyiwa manjaribio ya chanjo za Oxford/Zenneca ndio zimekubwa na virus vya kovid variant - wao wanasingizia mutation - hiyo si kweli, JPM alikuwa sahihi aliposema kuna baadhi ya Watanzania wamekwenda kuchanjwa nchi za jirani wakajikuta wanatuletea magonjwa ya ajabu ajabu!!

Bottom line is: Tanzania haitaji darasa kutoka Kenya jinsi ya ku-deal na corona.
 
Back
Top Bottom