Ikulu, Dodoma: Makabidhiano ya Ripoti ya CAG - Machi 28, 2021

Yap, ningependa jua 2015/2016 hasara ilikua kiasi gani pia...maana yawezekana uwiano wa hasara ukawa unapungua...
Una wazimu wewe. Yani dude linakukamua kwa kasi hivyo halafu unalikumbatia tu. Hasara ni hasara haina soft touch!
 
Wachawi kama kawaida.
umeisikiliza na kuielewa ripoti ya CAG? hiyo loss ya billns.of money unaionaje! inatabili uhai wa shirika ??,Kama wamezalisha loss ,maana yake wamefanya consumption hadi kwenye capital invested, unategemea nn hapo Kama sio kufunga biashara.
 
Mmeshaanza kuhamisha magoli jiwe sialiwahi kumuuliza
Mkurugenzi wa hilo shirika akasema wamepata faida kubwa imekuwaje leo mnaanza kukana maneno yenu? Corona sio issue kwetu unataka kuniambia kurusha Boing kwenda Mwanza na kurudi ndio upate faida acheni upuuzi

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
ATCL wajitadhimini.naona dalili za kufa kwa hili shirika.mwenye shirika ndo hayupo tena,sidhani Kama hili shirika litachukua hata 3yrs,katika miradi ambayo jpm aliifufua,ATCL itakuwa ndo 1st ku collapse.
Aliyejidai kulifufua ndio kaliua. ATCL haijawahi kupata faida tangu ianzishwe na mashirika ya kibinafsi kayaua.
 
Kuna mtu aliniambia trip ya mwanza tu inaingiza faida ya kutosha
 
Mama SSH ... Toa amri watu wakae ndani huku uchunguzi ukiendelea ...kujiuzulu pekee hakutoshi...

Vp pesa za Libya
 
Mradi wa Maji Arusha nao ukaguliwe hakuna thamani ya pesa iliyotumika pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…