Wenye mamlaka wamesema mashule vyuo havita funguliwa,na sasa sio siku tena 30 ni mpaka litakapo tolewa tamko...
Hii ina maana gani ! Kwamba hakuata kua na Academic activity yoyote nchini mpaka tamko litakapo tolewa!.
Tunafahamu chanzo ni COVID19 na hii ni moja ya tahadhari.
So kwa akili tu ya darasa la nne la mkoloni ni kwamba tamko linasubiri hali iwe shwari .
Ukiachana masuala ya kitaaluma kuna mengi sna yanategemewa kusiamama kwenye kalenda ya mwaka ya kitaifa kama vile maadhimisho ya siku ya wafanya kazi duniani mei mosi, saba saba nk.
Tuombe CORONA isifike huko..
Unakumbuka hii ni 2020?,na pia huu ndo mwaka wa uchaguzi mkuu wa Raisi,Wabunge na Madiwani Tanzania.
Nawaza tu hapa kwenye chaguzi kuna kampeni(mikusanyiko) kuna vikao vya wanachama(mikusanyoko) kuna foleni kupiga kura(mikusanyoko) zimenijia what if kibao
Bado mikusanyiko ya kina mama kupewa doti za khanga ..
COVID 19 iishe tuendelee na maisha ya kawaida kama awari ili tuchague viongozi wetu tunao wataka.
lakini What if akachukua muda mpaka kipindi cha uchaguzi kikafika ?
Je! Raisi aliepo atapaswa kuendelea mpaka mambo yatakapo kua sawa ?
Au itabidi Raisi astep down mana kamaliza kipindi chake na mkataba wake na wananchi umefika ukomo so kwa namna yoyote atapaswa kutulia ili asubiri atapo pewa dhamana tena! ?
Hyo ni raisi nae ni mmoja ..
Vipi kuhusu wabunge ?
Wataendelea au wasubiri?
Kama hali itaendelea kua tete hata vikao vya bunge vina zaidi ya 90% ku hairishwa
Automatic wabunge wanakua hawana kazi
(labda zipo mimi sizijui)
Mengi yamesimana ila nadhani mengi yatasimama!
Sent using
Jamii Forums mobile app