Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
Ufipani ni wapi ?Anarudi leo.
Haya wasalimie hapo Ufipani!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ufipani ni wapi ?Anarudi leo.
Haya wasalimie hapo Ufipani!
Hata kukaa kimya ni jibu.Acha upotoshaji. Linatokea kama kuja upigaji. Kma pesa yote ipo accountable haiwezi tokea kutobalance pesa yote iyo. Hiv 1trilion unaona ni ya mchezo yan ipotee tu kirahisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chadema mmepata Hati SafiRipoti ya CAG mpendwa wa Rais. Naona wameenda sawa bin sawia serikalini kumetamalaki malaika
Ameipaka sanitiza ruzuku!!Hakika mkuu na Prof Lipumba anaweza kutiwa mbaroni kwa kutakatisha ruzuku!
Kwenye kesi gani bwashee?
Lipumba alichota sh 300m akaingiza kwenye account binafsi kumkwepa maalimu Seif kwa sababu kwa mujibu wa katiba ya Cuf matumizi yote ni lazima yaidhinishwe na Katibu mkuu!
Maalim Seif alilisema hili mapema na akaandika barua kwa msajiri, hakujibiwa. Leo serikali hiyo hiyo mnasema CAG kafanya jambo la maana wakati mlimpa Lipumba Polisi kumsindikiza benki. Hatujasahau Jo,Kwenye kesi gani bwashee?
Lipumba alichota sh 300m akaingiza kwenye account binafsi kumkwepa maalimu Seif kwa sababu kwa mujibu wa katiba ya Cuf matumizi yote ni lazima yaidhinishwe na Katibu mkuu!
Bunge lipi?Kamati ya bunge ilitoa majibu bungeni sasa unataka wewe bwege ndio tukuamini?
Kwani we unafikiri nazungumzia bunge la kenya? Nenda kalale usisumbue watu. Kwani lazima unadili mada?
Kwahiyo Bunge limeisha ipokea hii ripoti au ukitoka kwa Ikulu ndiyo unaenda kwa Bunge?
Na Ludovic Uttoh huyo ndio alifungua njia.....CAG alikuwa Prof Assad tu...Huyu wa sasa hutosikia upigaaaji wa 1.5 tril.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye accounting hilo ni jambo kawaida kutokea,alafu baadae mnafanya reconciliation.
Wehu wa awamu ya tano mmetapakaa kila mahali.