Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fuatilia ripoti ya PAC baada ya tuhuma ya tril 1.5 kuonekana kama zimepigwa.PAC Walifuatilia hazina na ilijulikana hizo pesa ziko wapi. Kwa ufupi uhakiki ulifanyika kwa mujibu wa taratibu na hakuna upigaji.Kwenye Accounting,inakuwa kawaida kama kweli Reconciliation imefanyika na kuhakikiwa na CAG (Audit query response). Umeona ripoti ya CAG ya sasa ikisema maambo ni saaafi kuhusu 1.5Tril?Vinginevyo inaitwa UPIGAJI.
Fuatilia ripoti ya PAC baada ya tuhuma ya tril 1.5 kuonekana kama zimepigwa.PAC Walifuatilia hazina na ilijulikana hizo pesa ziko wapi. Kwa ufupi uhakiki ulifanyika kwa mujibu wa taratibu na hakuna upigaji.
Ubishi wa kwenye kijiwe cha kahawa au? Queries inapoibuka PAC wanafanya uchunguzi na majibu lazima apewe CAG na bunge kwa ujumla. Usitake kujichetua.Kwaio siku hizi Queries zinajibiwa kwa PAC sio CAG tena ambae ndio ameziulizia? PAC na CAG wanapaswa wafanye kazi pamoja.. Na ripoti mpya iseme wapi walisolve.. Queries lazima zijibiwe na lazima ziwepo kwenye ripoti zote mbili ya PAC na CAG pia.
Softcopy yake inakuwa hewani baada ya Muda gani wakuu
Bora Rais kawakata ngebe wote waliokuwa wakisema kuwa ana mpango wa kuongeza muda wa kukaa madarakani.
Sio kweli tindo, usiwadharau watanzania takriban milioni 60.Hamna bunge Tanzania, bali kuna waumini wa kmtukuza jiwe bungeni.
Kwani nchi anazopinduliwa Rais na hayo majeshi,huyo Rais anakuwa sio amri jeshi mkuu???Usituletee commedy zako hapa, Rais ni Amiri jeshi mkuu wa majeshi yote ya ulinzi na usalama. Hakuna kijogoo yeyote juu yake wote wanasaluti na kuitikia sawa mkuu/afande.