Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Polisi wanaoiweka CUF mikononi mwa Lipumba aliyekwisha jiuzulu wanatuhumiwa kula hela ya marehemu.Cuf wamekalia kuti kavu.......wametumbua fedha ya ruzuku bila Katibu mkuu maalimu Seif kuidhinisha!
CUF chini ya Lipumba wakisindikizwa na Polisi kwa idhini ya msajiri wa Vyama vya siasa wanatuhumiwa kutafuna ruzuku kinyume cha taratibu.
Uhalisia ni Polisi kuwasindikiza CUF Lipumba kuchota fedha za ruzuku.
Sent using Jamii Forums mobile app