Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Hajapanic ila ni lile kundi lilizoea kusikia maskendo kama Epa,Escrow au Tril 1.5 zimepigwa ili waanze kuizodoa serikali. Sasa wakati huu hayo mambo hayapo.Umeshapanic bwashee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajapanic ila ni lile kundi lilizoea kusikia maskendo kama Epa,Escrow au Tril 1.5 zimepigwa ili waanze kuizodoa serikali. Sasa wakati huu hayo mambo hayapo.Umeshapanic bwashee!
Kamati ya bunge ilitoa majibu bungeni sasa unataka wewe bwege ndio tukuamini?
Hii ni ripoti ya 2018/19 bwashee!Hiyo ni ripoti au propaganda? Maalim Seif ni katibu mkuu wa CUF? Bado wanadhani watu wamelala?
Hajapanic ila ni lile kundi lilizoea kusikia maskendo kama Epa,Escrow au Tril 1.5 zimepigwa ili waanze kuizodoa serikali. Sasa wakati huu hayo mambo hayapo.
Anarudi leo.Tumemmisi huku Dsm. Muulize anarudi lini mjini ili tupambane wote dhidi ya Covid 19
Hii ni ripoti ya 2018/19 bwashee!
Ngoja cuf ndo waje wapinge kama Ni kweli, sio wewe.Muda wote huo Seif alikuwa kwenye kesi
Usipofanya kazi utakula nini bwashee?!
Kama naona Kuna mpinzani anaandaliwa kupewa zanzibar. Tafta tu popconz za kutosha anza kuangalia hii mivie.Polisi wanaoiweka CUF mikononi mwa Lipumba aliyekwisha jiuzulu wanatuhumiwa kula hela ya marehemu.
CUF chini ya Lipumba wakisindikizwa na Polisi kwa idhini ya msajiri wa Vyama vya siasa wanatuhumiwa kutafuna ruzuku kinyume cha taratibu.
Uhalisia ni Polisi kuwasindikiza CUF Lipumba kuchota fedha za ruzuku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye kesi gani bwashee?Muda wote huo Seif alikuwa kwenye kesi
Kwahyo polepole anamzidi assadi kubalance hesabu. Yan unamaanisha mtu mwenye professional acc anazidiwa na ambaye hana hata certificate ya acc kubalance hesabu?.Acha ushabiki hakuna mtu aliyepiga 1.5 trill. Kulikuwa na tatizo la ya kubalance mahesabu.
Oh! Umenena Mkuu.Kwn assad hakumkabidh report ya 2018/2019? Tunatakiwa tuone riport ya asasad. Kuna kitu kimefichwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Alimkabidhi lini bwashee?!Kwn assad hakumkabidh report ya 2018/2019? Tunatakiwa tuone riport ya asasad. Kuna kitu kimefichwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha upotoshaji. Linatokea kama kuja upigaji. Kma pesa yote ipo accountable haiwezi tokea kutobalance pesa yote iyo. Hiv 1trilion unaona ni ya mchezo yan ipotee tu kirahisi.Kwenye accounting hilo ni jambo kawaida kutokea,alafu baadae mnafanya reconciliation
CAG wake huyu sio wa Tanzania
Polepole ameingia vipi? Au ndio unaamka.Kwahyo polepole anamzidi assadi kubalance hesabu. Yan unamaanisha mtu mwenye professional acc anazidiwa na ambaye hana hata certificate ya acc kubalance hesabu?.
Sent using Jamii Forums mobile app