Ikulu, hili la Fr. Kitima na utiaji sahihi ni uswahili wa mitaani

Bado tu mnaendelea na damage control!?
 
Zamani Ikulu palichukuliwa kama mahali patakatifu. Ila siyo siku hizi. Yaani hata watu wapumbavu wa mwisho kabisa katika jamii, eti wanayafahamu ma corridor yote ya Ikulu!!

Hakika maisha yanabadilika kwa kasi sana.
 
Na alivyo na akili ndogo, eti anafikiri pilau ni chakula special sana kiasi cha kumnyanyapaa mtu ambaye muda wowote ule anaweza kula!!

Binafsi nimemdharau sana.
 
Boss mwenyewe mswahili sasa unategemea nini
 
Ikulu ni mahali
patakatifu
Ikulu siyo pango la wanyang'anyi

Je Ikulu yetu sasa inatosha kuitwa mahali patakatifu?
 
Bibi yako amaekuwa mhuni uzeeni, yaan ukilitoa lile lishungi, na dera, anaweza kuwa levo moja na giggy money tu, what a shame
Tulipigwa utosini kwa hakika!. 😭
 
Hii nchi ni ya kipumbavu sana. Naona na leo tena wamemualika mpuuzi huyu kwenye uzinduzi wa chanjo ya mama na mtoto pale JNICC anaendelea na matusi yake. Sijawahi kuona nchi ya kipuuzi kama hii
 
Mtu yeyote mwenye common sense would have enquired what is the special event. It wasn't a secret and I believe the Father has his own sources of intelligence to know what ever is happening on a day to day basis.
 
Hii nchi ni ya kipumbavu sana. Naona na leo tena wamemualika mpuuzi huyu kwenye uzinduzi wa chanjo ya mama na mtoto pale JNICC anaendelea na matusi yake. Sijawahi kuona nchi ya kipuuzi kama hii
Nadhani huu ni ulaji wa mtu, hebu tuchunguze huyu chawa analipwa shs ngapi? Kwa show moja
 
Ni ujinga mkubwa sana na usela mavi
 
Huu ndo mwisho wa uwezo wa akili yako kuwaza na kutathmini mambo..!! Unaweka mahaba sana kiasi cha kushindwa kufikiri kwa kina. Hujui athari ya jambo lile kwa mapana yake.
Wewe huoni ilipoishia akili yako hapo?
Unashindwa hata ku reason mambo ya msingi...!
Jiulize wewe kweli hakujua wito unahusu nini?
Ok, alipojua alichukua hatua gani?
Mbona bahasha na pilau hakuisusa alipojua?

Ukiwa mnafiki kama wewe na yeye unalipwa hapa hapa duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…