Ikulu, hili la Fr. Kitima na utiaji sahihi ni uswahili wa mitaani

Hongera sana
 
Wanawake wote hata angekuwa Rais tabia ya kupenda kuchamba ipo pale pale!
 
Ninafikiri hata kama Fr Kitima na TEC wangekuwa wanajua kinachoenda kufanyika Ikulu bado hawakuwa na sababu ya kutohudhuria.

Fr Kitima na TEC wameweka rekodi sawa; hawaungi mkono IGA kwa masharti yale na vipengele vile vya mkataba. Wakashauri Serikali iachane navyo.

Ushauri siyo lazima ufuatwe, na hawapaswi kususa kwa sababu ushauri wao haujafuatwa.

Muhimu wameweka records sawa - hawaungi mkono uuzwaji wa Bandari zetu. Wakialikwa waende tu.
 
Tusimlaumu kitima.

Mbowe mwenyewe baada ya kutoka jela aliitwa akakimbia haraka sana.

Na akaanza kusifia majukwaani akiwa amelewa.
 
Well said
 
Ukitaka kujua tabia na mienendo ya waswahili ishi pwani mitaa ya uswahilini.

Kitima sio mnafiki na amedhihirisha hilo kwa kuendelea na msimamo wake.
Na ukitakakujua 'ushamba' ishi bara mikoani mitaa ya ushambani.
 
Bora washamba kuliko malimbukeni
Ushamba na ulimbukeni ni kama suti tu juu hadi chini. Acheni ushamba na ulimbukeni kwamba Kila kitu mnajua ninyi tu kana kwamba watanzania Kuna kipindi wote tulikuja matajiri, tuna Akira, hatuna matatizo, tuna madawa.....! Kama sio ushamba na ulimbukeni kumbe nini?
Wengi mnasumbuka na udini na ushamba.
 
Kwa mfano:
Unapinga 'ufisadi' je, mafisadi wakikualika katika sherehe yao unakwenda?
Kitima mnafiki tu, hakuna lugha nyingine hapo.
 
Waimba taarabu huba hata ndotoni, ulitegemea nini?
Think tank za ccm zilipiga makofi kwa kuonuesha kuunga mkono uhuni huo, unafikiri wanajielewa basi?
 
Kwa mfano:
Unapinga 'ufisadi' je, mafisadi wakikualika katika sherehe yao unakwenda?
Kitima mnafiki tu, hakuna lugha nyingine hapo.
Ukiwashauri waache ufisadi, wasipoacha hakuna sababu ya kususa kushirikiana nao. Ushauri siyo amri.
 
Hii si bahati mbaya ilipangwa kwa mlango wa nyuma Ili mkataba ukubalike na public.Mpoto asingelikoroga,ingempa shida fother kujisafisha kwa vile alionekana kwenye move.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…