Ikulu, hili la Fr. Kitima na utiaji sahihi ni uswahili wa mitaani

Nikiletewa barua ya mwaliko kwenda huko siendi n'go!!!
 
Kama nchi inaendeshwa na waswahili,tegemea hilo.
Tukanane tu, lkn mama ndo hivyo ameshawapachika lidole la kati......endeleeni kukata viuno.

Hv inaingia akilini mtu wenu huyo aitwe asijue anaitiwa nini huko ikulu, na asivyo mpenda mama kutokana na udini wake, ashindwe kuhoji?!!! Huo ni uongo......endeleeni, haters, kudanganyika.
 

Mkuu mbona na wewe unaleta uswahili,wapi nilisema na mchukia sa100 kisa dini yake,suala la imani kwa kiongozi wa nchi halijawahi kuwa na faida mana haendi kuongoza misikiti au makanisa.

Kiongozi atapimwa kwa uchapakazi na utekelezaji wa ilani,kwahili sa100 kapwaya pakubwa.
 
Mtazamo wako, sisi tunaona nyie haters ndo mmepwaya Big time!!
 
Mbaya zaidi wakamualika mhuni wa mitaani Mrisho Mpoto kuangusha vijembe dhidi ya Fr Kitima.
Hata makamu wa rais naye aliunga mkono hadharani maneno ya Mpoto. Sasa sijui naye tumuitdje? Mhuni au ndiyo imeenda hiyo?
 
Yaan kwakweli hata hatufatilii tena mambo ya ikulu sio poa walivyomfanyia father but we remind them Katoliki ni zaidi ya serikali
 
Next time mkiita watu wenye heshima zao Ikulu, watahoji mwito huo kama una maslahi kwake mtu binafsi, au wanaenda kuchambwa na Mrisho Mpoto.

Ikulu, mmejishushia hadhi.
Huwa sina kawaida ya kuchangia kwenye post zako, lakini kwa hili nakuunga mkono. Ikulu imefanya upuuzi wa hali ya juu sana. Haingii akilini kualika "watu wenye heshima zao" kama watumishi wa Mungu na kuachia mhuni mmoja kuwadharirisha kwa kuwazodoa na kuwavunjia heshima.
Hata kama ni mimi, next time nikipata mwaliko toka Ikulu nitajihoji mara mia mia kama niende au la!
Ikulu wamejishushia hadhi kwa kiasi kikubwa.
 
Kwani wana hadhi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…