Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Nyie ni washamba kiasi fulani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie ni washamba kiasi fulani.
Kwa style hii elimu yetu bado haisaidii watuu ona na huyuu anazan n kuchom sindano n kam kugaw mihogo tyuSio lazima kuvaa gloves wakati wa kuchoma sindano japo inapendekezwa hivyo.
Gloves ni kwa ajili ya kumkinga mtoa chanjo asiambukizwe virusi vya ukimwi kutoka kwa anayemchanja ikitokea huyo anayechanjwa anavyo na mtoa chanjo akagusa damu yake.
Eti zero nukta mbili hahahhaaaaaaaaa.Chanjo ni hiari wakuu ,tuache conspiracy ,kama hautaki acha usichome waacheni wanaotaka ,mabilionea wanachanja ,wewe mwenzangu na mimi account ina zero nukta mbili unasema mabeberu wanataka kukuua.
Labda asije akaonekana amemnyanyapaa kiongozi
Umejuaje wewe anayechanjwa na anayechanjwa wako salama?Gloves ni kwa ajili ya kumkinga mtoa chanjo asimbukizwe virusi vya ukimwi kutoka kwa anyemchanga ikitokea huyo anachanjwa anavyo na mtoa chanjo akagusa damu yake.
Kwa kifupi kama unayemchanja una wasi wasi anaweza kuwa na virusi vya ukimwi, vaa glovu. Kama una uhakika hana virusi hivyo acha kuvaa glovu kwani glovu ina madhara yake pia (though rare) kwa mchanjaji na anayechanjwa. Ni kama yalivyo matumizi ya kondomu. Kama una uhakika mwenza wako hana hivyo virusi usivyae kodomu.
Hao waliochanjwa leo wako salama. Ila watakapokuja kukuchanja wewe lazima watavyaa gloves kama walivyovaa walipokuwa wanamchanja huyo rais wa amerika, kwani watakuwa na wasi wasi na wewe wa kutokuwa na virusi vya hiv and hepatitis.
mimi ni muhudumu wa Afya, nafanya kazi RCH, ni kawaida tu na ninatoa sana chanjo bila globes wala si ajabu, kwaiyo ni swala la kawaida usijari
Ni hiari leo mkuu, lakni haitakuwa hiari huko mbeleni😡Chanjo ni hiari wakuu ,tuache conspiracy ,kama hautaki acha usichome waacheni wanaotaka ,mabilionea wanachanja ,wewe mwenzangu na mimi account ina zero nukta mbili unasema mabeberu wanataka kukuua.
Wanachanja za mabilioni, sisi tunaletewa za senti 10🤣buremabilionea wanachanja
Ajabu sana mkuu, sasa kama hao wahudumu wa afya wanafanya hivyo ss wengine itakuwajeHauwezi kuwa serious wewe. Mhudumu wa afya haujui hata umuhimu wa preventive measures?
😆😆😆 Tunaambiwa hawatawajibika na madhara tutayopata tokana na hizo chanjo feki zilizokataliwa US. Akili kichwaniMaigizo yanasababisha wasahau kufanya hata vinavyofanyika kwenye uhalisia
......Leo nineona maajabu ya watu wanaotakiwa watuelimishe kuhusu afya zetu wenyewe hawajui ata lufata tararibu za kulinda afya ze wengine!
Tusipoelewa msitulamu mjue tu nyie ndiyo chanzo chakuletq mkanganyiko katika jamii.
Hali hii mmelifanya kwenye camera! Je! Mkiwa pekeyenu si ndiyo mnapuyanga View attachment 1871410View attachment 1871411
hahahahahhaMaigizo yanasababisha wasahau kufanya hata vinavyofanyika kwenye uhalisia
Just because you do it like that, it doesn't mean it is the right way.mimi ni muhudumu wa Afya, nafanya kazi RCH, ni kawaida tu na ninatoa sana chanjo bila globes wala si ajabu, kwaiyo ni swala la kawaida usijari
PumbavuGloves ni kwa ajili ya kumkinga mtoa chanjo asimbukizwe virusi vya ukimwi kutoka kwa anyemchanga ikitokea huyo anayechanjwa anavyo na mtoa chanjo akagusa damu yake.
Kwa kifupi kama unayemchanja una wasi wasi anaweza kuwa na virusi vya ukimwi, vaa glovu au hakikisha kabisa hugusi damu yake. Kama una uhakika hana virusi hivyo acha kuvaa glovu kwani glovu pia ina madhara yake (though rare) kwa mchanjaji na anayechanjwa. Ni kama yalivyo matumizi ya kondomu. Kama una uhakika mwenza wako hana hivyo virusi usivyae kodomu.
Hao waliochanjwa leo hakuna wasi wasi huo. Pia waliotoa chanjo hizo leo ni wabobezi wa kazi hiyo na hizo hawawezi kabisa kugusa damu ya mtu waliemchanja. They know the technique very well. Ila wachanjaji watakaokuja kukuchanja wewe lazima watavyaa gloves kama walivyovaa walipokuwa wanamchanja huyo rais wa amerika, kwani watakuwa na wasi wasi na wewe wa kutokuwa na virusi vya hiv and hepatitis.