Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo nineona maajabu ya watu wanaotakiwa watuelimishe kuhusu afya zetu wenyewe hawajui ata lufata tararibu za kulinda afya ze wengine!
Tusipoelewa msitulamu mjue tu nyie ndiyo chanzo chakuletq mkanganyiko katika jamii.
Hali hii mmelifanya kwenye camera! Je! Mkiwa pekeyenu si ndiyo mnapuyanga View attachment 1871410View attachment 1871411
Kweli wewe ni mhudumu? Kuandika kwenye ni chengamimi ni muhudumu wa Afya, nafanya kazi RCH, ni kawaida tu na ninatoa sana chanjo bila globes wala si ajabu, kwaiyo ni swala la kawaida usijari
Huo ni uzembe na hustahili kujidai eti ni mhudumu wa afya. Aliyesomea mambo ya afya hawezi kuonesha uzembe kama huo. Hayo ni maji tusidanganyane!!!!!!!!!!!!!!!mimi ni muhudumu wa Afya, nafanya kazi RCH, ni kawaida tu na ninatoa sana chanjo bila globes wala si ajabu, kwaiyo ni swala la kawaida usijari
Sijui wakimuua wanachukua kinyesi? aibu kubwa sn, ambaye hataki aache sisi tupate chanjoChanjo ni hiari wakuu ,tuache conspiracy ,kama hautaki acha usichome waacheni wanaotaka ,mabilionea wanachanja ,wewe mwenzangu na mimi account ina zero nukta mbili unasema mabeberu wanataka kukuua.
Kweli aseeNilipoona umeandika gobes tu nikagundua shida ilipo
Hi ni tofauti na wajawazito unaopima RCH, kwa hiyo ukihitaji kufanya PV huvai pia?mimi ni muhudumu wa Afya, nafanya kazi RCH, ni kawaida tu na ninatoa sana chanjo bila globes wala si ajabu, kwaiyo ni swala la kawaida usijari
Kweli wewe ni mhudumu wa afya? utakuwa na vyeti fake hata cheo chako kinakushinda?mimi ni muhudumu wa Afya, nafanya kazi RCH, ni kawaida tu na ninatoa sana chanjo bila globes wala si ajabu, kwaiyo ni swala la kawaida usijari
Very goodHi ni tofauti na wajawazito unaopima RCH, kwa hiyo ukihitaji kufanya PV huvai pia?
Tunaambiwa tusigusane kwenye janga la Corona,Sasa ya kuchanjwa Bila glove si anaweza kuniachia virus kupitia mikono yake?
Au uchanjaji wa mwendokasi🙄
Chanjo ni hiari wakuu ,tuache conspiracy ,kama hautaki acha usichome waacheni wanaotaka ,mabilionea wanachanja ,wewe mwenzangu na mimi account ina zero nukta mbili unasema mabeberu wanataka kukuua.
Kweli wewe ni mhudumu wa afya? utakuwa na vyeti fake hata cheo chako kinakushinda?
Ukawaida hauwezi kuwa ndio kitaalamu. Lazima ufuate masharti (procedure) ya fani na sio kulta ukawaida na kusema ukawaida ndio sehemu ya masharti (procedure) ya fani.mimi ni muhudumu wa Afya, nafanya kazi RCH, ni kawaida tu na ninatoa sana chanjo bila globes wala si ajabu, kwaiyo ni swala la kawaida usijari
Wanaogopa gharama pia. Kila mtu mmoja pair ya gloves, wamekwepa gharama muda mrefu za protecive devices hii nayo itapita.Nadhani ni speed zoezi, japo risk ipo anagusa pamba kuzuia damu isitoke.
Yaani akimaliza mmoja anafata mwingine hao wanaodungwa hawawezi kuambukizana kweli ,Nadhani ni speed zoezi, japo risk ipo anagusa pamba kuzuia damu isitoke.
Samahan muuguz bila nin ?? Au unauguz nin mwenzetuumimi ni muhudumu wa Afya, nafanya kazi RCH, ni kawaida tu na ninatoa sana chanjo bila globes wala si ajabu, kwaiyo ni swala la kawaida usijari