#COVID19 Ikulu, imekaaje viongozi kuchomwa chanjo ya Corona bila wauguzi kuvaa gloves?

#COVID19 Ikulu, imekaaje viongozi kuchomwa chanjo ya Corona bila wauguzi kuvaa gloves?

Leo nineona maajabu ya watu wanaotakiwa watuelimishe kuhusu afya zetu wenyewe hawajui ata lufata tararibu za kulinda afya ze wengine!

Tusipoelewa msitulamu mjue tu nyie ndiyo chanzo chakuletq mkanganyiko katika jamii.

Hali hii mmelifanya kwenye camera! Je! Mkiwa pekeyenu si ndiyo mnapuyanga View attachment 1871410View attachment 1871411

Kwani wewe ni mtalaamu kwenye kuchoma chanjo?
 
mimi ni muhudumu wa Afya, nafanya kazi RCH, ni kawaida tu na ninatoa sana chanjo bila globes wala si ajabu, kwaiyo ni swala la kawaida usijari
Huo ni uzembe na hustahili kujidai eti ni mhudumu wa afya. Aliyesomea mambo ya afya hawezi kuonesha uzembe kama huo. Hayo ni maji tusidanganyane!!!!!!!!!!!!!!!
 
mimi ni muhudumu wa Afya, nafanya kazi RCH, ni kawaida tu na ninatoa sana chanjo bila globes wala si ajabu, kwaiyo ni swala la kawaida usijari
Hi ni tofauti na wajawazito unaopima RCH, kwa hiyo ukihitaji kufanya PV huvai pia?
Tunaambiwa tusigusane kwenye janga la Corona,Sasa ya kuchanjwa Bila glove si anaweza kuniachia virus kupitia mikono yake?
Au uchanjaji wa mwendokasi🙄
 
Very good
 
Chanjo ni hiari wakuu ,tuache conspiracy ,kama hautaki acha usichome waacheni wanaotaka ,mabilionea wanachanja ,wewe mwenzangu na mimi account ina zero nukta mbili unasema mabeberu wanataka kukuua.

Kwani mwenye zero acc. Asipochoma kuna shida gani? Si wanaishi jamani kila siku [emoji23][emoji23] wanaparamia madaladala na hawaugui hiyi corona hao mabilionea wacha sio kama kuna shinda yoyote maana pia wanaweza bd kupata uwo ugonjwa
 
mimi ni muhudumu wa Afya, nafanya kazi RCH, ni kawaida tu na ninatoa sana chanjo bila globes wala si ajabu, kwaiyo ni swala la kawaida usijari
Ukawaida hauwezi kuwa ndio kitaalamu. Lazima ufuate masharti (procedure) ya fani na sio kulta ukawaida na kusema ukawaida ndio sehemu ya masharti (procedure) ya fani.

Lugha yako inaonesha hauko makini na taaluma yako.
 
Nadhani ni speed zoezi, japo risk ipo anagusa pamba kuzuia damu isitoke.
Yaani akimaliza mmoja anafata mwingine hao wanaodungwa hawawezi kuambukizana kweli ,
Manake kiutararibu unatakiwa kila mtu ahudumiwe kwa gloves Mpya
Sasa hapo ikulu no gloves anahudumiwa huyu anawekewa pamba kuzuia damu kuna uwezekano damu imetoka kidogo imebaki kwa mchoma hiyo chanjo ambaye hana gloves, akimaliza anakuja mwingine anamhudumia bila glove naye anamuweka pamba kuzuia damu hapo kuna uwezekano wa kuambukizana magonjwa ya contagious
 
[emoji848][emoji848][emoji848]
images%20(33).jpg
 
Back
Top Bottom