Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa Johnson & JJ ndio wanatakiwa kufungiwa kabisa, wanajaribu kutudanganya kwamba ugonjwa pekee kwa sasa ni UVIKO-19 na hakuna magonjwa mengine tunayoweza kuambukizana?Administration Overview for Johnson & Johnson's Janssen COVID-19 Vaccine | CDC
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Administration Overview for Johnson & Johnson's Janssen COVID-19 Vaccine | CDC
Information about Johnson & Johnson’s Janssen COVID-19 Vaccine and how to store, handle, and administer it.www.cdc.gov
*Gloves are not required unless the person administering the vaccine is likely to come in contact with potentially infectious body fluids or has open lesions on the hands. If worn, perform hand hygiene and change gloves between patients.
Unasemaaa!!!?mimi ni muhudumu wa Afya, nafanya kazi RCH, ni kawaida tu na ninatoa sana chanjo bila globes wala si ajabu, kwaiyo ni swala la kawaida usijari
huyu #GWAJIMA si ndio alikuwa kila asubuhi anasukutua mdomo na ile ya NIMRnamuona GWAJIMA akibadilika tena kutoka kujifukiza VYUNGU na kurudi kulee alikokuwa ankupinga. kweli MOLA tupe uhai tuyaone mengi maajabu
View attachment 1871457
cc: Mamndenyi
Umesema muhudunu wa barmimi ni muhudumu wa Afya, nafanya kazi RCH, ni kawaida tu na ninatoa sana chanjo bila globes wala si ajabu, kwaiyo ni swala la kawaida usijari
Minor.Kweli wewe ni mhudumu? kuandika kwenye ni chenga
Gloves ni kwa ajili ya kumkinga mtoa chanjo asimbukizwe virusi vya ukimwi kutoka kwa anyemchanga ikitokea huyo anayechanjwa anavyo na mtoa chanjo akagusa damu yake.
Kwa kifupi kama unayemchanja una wasi wasi anaweza kuwa na virusi vya ukimwi, vaa glovu au hakikisha kabisa hugusi damu yake. Kama una uhakika hana virusi hivyo acha kuvaa glovu kwani glovu pia ina madhara yake (though rare) kwa mchanjaji na anayechanjwa. Ni kama yalivyo matumizi ya kondomu. Kama una uhakika mwenza wako hana hivyo virusi usivyae kodomu.
Hao waliochanjwa leo hakuna wasi wasi huo. Pia waliotoa chanjo hizo leo ni wabobezi wa kazi hiyo na hizo hawawezi kabisa kugusa damu ya mtu waliemchanja. They know the technique very well. Ila wachanjaji watakaokuja kukuchanja wewe lazima watavyaa gloves kama walivyovaa walipokuwa wanamchanja huyo rais wa amerika, kwani watakuwa na wasi wasi na wewe wa kutokuwa na virusi vya hiv and hepatitis.
"Mimi ni Mama wa Watoto 4, Bibi wa wajukuu, mke lakini pia Rais na Amir Jeshi Mkuu nisingejitoa mwenyewe kujipeleka kwenye kifo nikijua nina majukumu yote haya, hii chanjo ni ya wataalamu na wataalamu wetu wamejiridhisha, NIKO TAYARI Kuchanjwa" Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu HassanLeo nineona maajabu ya watu wanaotakiwa watuelimishe kuhusu afya zetu wenyewe hawajui ata lufata tararibu za kulinda afya ze wengine!
Tusipoelewa msitulamu mjue tu nyie ndiyo chanzo chakuletq mkanganyiko katika jamii.
Hali hii mmelifanya kwenye camera! Je! Mkiwa pekeyenu si ndiyo mnapuyanga View attachment 1871410View attachment 1871411
Maigizo yanasababisha wasahau kufanya hata vinavyofanyika kwenye uhalisia
😁😁😁😁😁😁 Hahahaha mbavu zangu mie! Wajirudie rudie etiiii?Tena wajirudierudie mpaka iishe😂😂😜!
Ni kiini macho tuu,😄Hapo yaweza kuwa ni zengwe tu,
Umewaza mbali sana mkuu.Wanataka kuugusa mwili nyama kwa nyama wanaosha nyota
Unaiga kuandika yanayozunguka mitandaoni!Chanjo ni hiari wakuu ,tuache conspiracy ,kama hautaki acha usichome waacheni wanaotaka ,mabilionea wanachanja ,wewe mwenzangu na mimi account ina zero nukta mbili unasema mabeberu wanataka kukuua.
Hatari snMinor.
Huyu sio muhudumu wa afya manake hata hiyo huduma ya RCH mfano Huduma ya ukunga eti kawaida kuifanya bila kutumia gloves.Hauwezi kuwa serious wewe. Mhudumu wa afya haujui hata umuhimu wa preventive measures?