#COVID19 Ikulu, imekaaje viongozi kuchomwa chanjo ya Corona bila wauguzi kuvaa gloves?

#COVID19 Ikulu, imekaaje viongozi kuchomwa chanjo ya Corona bila wauguzi kuvaa gloves?

Administration Overview for Johnson & Johnson's Janssen COVID-19 Vaccine | CDC
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
*Gloves are not required unless the person administering the vaccine is likely to come in contact with potentially infectious body fluids or has open lesions on the hands. If worn, perform hand hygiene and change gloves between patients.
Hawa Johnson & JJ ndio wanatakiwa kufungiwa kabisa, wanajaribu kutudanganya kwamba ugonjwa pekee kwa sasa ni UVIKO-19 na hakuna magonjwa mengine tunayoweza kuambukizana?
 
mimi ni muhudumu wa Afya, nafanya kazi RCH, ni kawaida tu na ninatoa sana chanjo bila globes wala si ajabu, kwaiyo ni swala la kawaida usijari
Umesema muhudunu wa bar
 
Gloves ni kwa ajili ya kumkinga mtoa chanjo asimbukizwe virusi vya ukimwi kutoka kwa anyemchanga ikitokea huyo anayechanjwa anavyo na mtoa chanjo akagusa damu yake.

Kwa kifupi kama unayemchanja una wasi wasi anaweza kuwa na virusi vya ukimwi, vaa glovu au hakikisha kabisa hugusi damu yake. Kama una uhakika hana virusi hivyo acha kuvaa glovu kwani glovu pia ina madhara yake (though rare) kwa mchanjaji na anayechanjwa. Ni kama yalivyo matumizi ya kondomu. Kama una uhakika mwenza wako hana hivyo virusi usivyae kodomu.

Hao waliochanjwa leo hakuna wasi wasi huo. Pia waliotoa chanjo hizo leo ni wabobezi wa kazi hiyo na hizo hawawezi kabisa kugusa damu ya mtu waliemchanja. They know the technique very well. Ila wachanjaji watakaokuja kukuchanja wewe lazima watavyaa gloves kama walivyovaa walipokuwa wanamchanja huyo rais wa amerika, kwani watakuwa na wasi wasi na wewe wa kutokuwa na virusi vya hiv and hepatitis.

Kwenye hilo zoezi hapo bila gloves kuna uwezekano mkubwa Sana wa watu kuambukizana Hepatitis B.
Wewe umekariri HIV tu
Utakuwa ni mpuuzi flani usiyeelewa aina za contagious diseases na jinsi zinavyombukizwa.
Kama hiyo Hepatitis B ni rahisi Sana kuambukizana hata kwa jasho tu wewe sijui unachangia nini
 
Leo nineona maajabu ya watu wanaotakiwa watuelimishe kuhusu afya zetu wenyewe hawajui ata lufata tararibu za kulinda afya ze wengine!

Tusipoelewa msitulamu mjue tu nyie ndiyo chanzo chakuletq mkanganyiko katika jamii.

Hali hii mmelifanya kwenye camera! Je! Mkiwa pekeyenu si ndiyo mnapuyanga View attachment 1871410View attachment 1871411
"Mimi ni Mama wa Watoto 4, Bibi wa wajukuu, mke lakini pia Rais na Amir Jeshi Mkuu nisingejitoa mwenyewe kujipeleka kwenye kifo nikijua nina majukumu yote haya, hii chanjo ni ya wataalamu na wataalamu wetu wamejiridhisha, NIKO TAYARI Kuchanjwa" Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
 
Chanjo ni hiari wakuu ,tuache conspiracy ,kama hautaki acha usichome waacheni wanaotaka ,mabilionea wanachanja ,wewe mwenzangu na mimi account ina zero nukta mbili unasema mabeberu wanataka kukuua.
Unaiga kuandika yanayozunguka mitandaoni!
Ni jambo rahisi kama la Gwajima, una hakika anachochanjwa bilionea ni sawa na unachochanjwa wewe? Chanjo yenyewe ya msaada!
Hata anachochanjwa waziri mkuu ni kile utakachochanjwa wewe kesho
 
Hauwezi kuwa serious wewe. Mhudumu wa afya haujui hata umuhimu wa preventive measures?
Huyu sio muhudumu wa afya manake hata hiyo huduma ya RCH mfano Huduma ya ukunga eti kawaida kuifanya bila kutumia gloves.
Amenishangaza Sana huyo jamaa
 
Ngoja niangalie "wataalamu wa afya" wanavyoparuana hapa
images (85).jpeg
 
Back
Top Bottom