#COVID19 Ikulu, imekaaje viongozi kuchomwa chanjo ya Corona bila wauguzi kuvaa gloves?


Wanaouliwa au targeted ni watu wenye impact kwenye jamii(mabilionea ,activists etc) ,sasa mwenzangu na mimi kutoka naminywili unakaa kwenye nyumba ya tembe ,maji unakunywa mnachangia na mifugo wakuue ili iweje? Hiyo statement ni kuwajibu hao wanaosema wazungu wanataka kutuua via covid vaccine.
 
Mimi ni muhudumu wa Afya, nafanya kazi RCH. Ni kawaida tu na ninatoa sana chanjo bila globes wala si ajabu, kwaiyo ni swala la kawaida usijari
Ndugu globes ndo nn?nway Jamaa anaulizia gloves sio globes...hizo globes ht msipo vaa poa tu, ila gloves shurti uvae, unless hujaiva ktk sekta ya utabibu, your careless, hujali or hujui nn unapaswa kufanya.
 
Anasambaza hepatitis kwasababu ya TV Show!
 
Ni kweli alipaswa kuvaa gloves, nadhan hapa ameweka uhalisia wa nchi yetu ulivyo huko mahospitali, na inatakiwa kila mgonjwa ukimchoma ubadili gloves uvae zingine, sasa kwa nchi yetu hii ni ngumu kdg kutokana na uhaba wa vitendea kazi
 
Kuna tumafuta twa kemikali wanapakaga siku hizi,gloves ni option labda kama ni chumba cha operation.Bush doctor kaniambia.
 
Cyril Ramaphosa, Rais wa South Africa.
 
Mimi ni muhudumu wa Afya, nafanya kazi RCH. Ni kawaida tu na ninatoa sana chanjo bila globes wala si ajabu, kwaiyo ni swala la kawaida usijari
IPC 0 wewe acha kujisifia kufanya kazi kienyeji. Uzoefu wako wa RCH hauhalalishi kufanya kazi kienyeji au ndo ulivyofundishwa chuoni?
 
Daaah huyu nae ni daktari....

Hii nchi imekufa.
 
toka magu afariki ikulu imejaa wajinga, hii kitu inaonyesha upeo mdogo wa viongozi maana hapo ilitakiwa mambo vyafanyike kwa kiwango cha kimataifa ,vipofu wanaongozana hakuna hata mmoja aliye baini uzembe
 
Mimi ni muhudumu wa Afya, nafanya kazi RCH. Ni kawaida tu na ninatoa sana chanjo bila globes wala si ajabu, kwaiyo ni swala la kawaida usijari
kawaida kivipi bana yan umejichokonoa huko utokako then uje uniachie bacteria wako,ndo mana maradhi hayatuishi jaman mweee
 
[emoji38][emoji38][emoji38] Tunaambiwa hawatawajibika na madhara tutayopata tokana na hizo chanjo feki zilizokataliwa US. Akili kichwani
WAKATI WAO WAKIPATA MADHARA YA CHANJO MOJA KWA MOJA WANAUDUMIWA BURE KWA PESA ZA WALIPA KODI MASIKINI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…