GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
' Body Language ' ya Mama inaonyesha Urais wa ' Kikanuni ' alioupokea bado haujamkaa vyema Akilini mwake, labda akigombea Yeye kama Yeye kwa Kupigiwa Kura na Kushinda mwaka 2025 haya Mapungufu yake yote ya sasa yatakuwa ni Historia.Kwa kweli ni Jambo la Aibu kusahau mambo muhim hivi! ina maana Dangote kicheo ni mkubwa kuliko mama yetu?
Hizi aibu zisijirudie! hata mpiga picha hajui protokali?
daah noma kweliView attachment 1796531
Hahahahahahaha mbushuu umetisha. Hongera Sana kumaliza mjadala.Samahaini mkuu, kunaweza kukawa na utofauti na hii picha? View attachment 1796568
Kwa mataga hizo ndizo issue kubwa kuliko kujikinga na covid19 au kupinga mambo ya ovyo yasijirudieMambo mengine mkuu tumerithi Kwa wakoloni tu lakin kimsingi hayana maana yoyote wala athari zozote kiuchumi, kiutamaduni wala kisiasa.
Hii watu wa protokali mtoa mada hakuwakumbuka!!! Daah mataga wanazidi kuumbuka...Samahaini mkuu, kunaweza kukawa na utofauti na hii picha? View attachment 1796568
Ataenda chattle kupumzika...Mama iñaonekana amechoka, Hakika anahitaji likizo
Haya waendelee kuongea
Mama ana mapungufu gani mzee? Tukimlinganisha na aliyepita namuona ni bora 200%' Body Language ' ya Mama inaonyesha Urais wa ' Kikanuni ' alioupokea bado haujamkaa vyema Akilini mwake, labda akigombea Yeye kama Yeye kwa Kupigiwa Kura na Kushinda mwaka 2025 haya Mapungufu yake yote ya sasa yatakuwa ni Historia.
Punguza usanii.angalia background kuna taa inawaka na ukutani kuna stika mfano wa swichi ukutani nyekunde.
Umetupiga..hii iko inverted imechezewa..hebu soma maandishi ya ngao ya taifa hapo juu ya vichwa vyao "uhuru na umoja" ndio utajua hujui
Upo vizuriUmetupiga..hii iko inverted imechezewa..hebu soma maandishi ya ngao ya taifa hapo juu ya vichwa vyao "uhuru na umoja" ndio utajua hujui
Soma maandishi kwenye ngao ya taifa hapo katika picha yako
Ajabu,watu wanaandika ujinga wa kupitilizaMbona title na picha ni tofauti mkuu au kushoto unamaanisha upande upi?
MODERATORS ENDELEENI KUWALEA WATU KAMA HAWA.SSH anaonekana mwenye mawazo sana, ashaanza kuuza nchi ovyo ovyo na kuwapa ulaji wana mtandao, hiyo huzuni ni ya nini ?
Sasa unataka Rais apige hatua mojaya ziada kumfata Dangote ampe mkono. Hiyo ndiyo natural set up kwa sababu itamlazimu Dangote ainuwe mguu wa kulia kumfata Mama ili ampe mkono na mama kazi yake hapo ni kunyoosha mkono tu.Kwa kweli ni Jambo la Aibu kusahau mambo muhim hivi! ina maana Dangote kicheo ni mkubwa kuliko mama yetu?
Hizi aibu zisijirudie! hata mpiga picha hajui protokali?
daah noma kweliView attachment 1796531
Hauna Akili za Kunielewa bakia hivyo tu.Mama ana mapungufu gani mzee? Tukimlinganisha na aliyepita namuona ni bora 200%
Watanzania hatuendelei kwa sababu ya uoga...Dangote is back trying to exploit the weekness of the new president.
Lord have mercy on us!
Tanzania is listed back on Alibaba and Ebay, up for grabs to the highest bidder.
Labda kungekuwa na mtu mwingine kushoto kwa mama hapo ingekuwa poaKwa kweli ni Jambo la Aibu kusahau mambo muhim hivi! ina maana Dangote kicheo ni mkubwa kuliko mama yetu?
Hizi aibu zisijirudie! hata mpiga picha hajui protokali?
daah noma kweliView attachment 1796531
Kama wewe unauza town hapa wanujuaj wapooo,wanapakia na mgando piaSSH anaonekana mwenye mawazo sana, ashaanza kuuza nchi ovyo ovyo na kuwapa ulaji wana mtandao, hiyo huzuni ni ya nini ?