IKULU mawasiliano inahitaji data analyst and propagandist, sio mwanahabari otherwise Rais atabadili sana. Mchukueni David Kafulila

Sasa mbona hujateuliwa na wakati ni chawa mpaka ameteuliwa marehemu?
Nani kakwambia nipo hapo kwa ajili ya uteuzi. Nchi hii ina watu wangapi? Inawezekana vipi wote wakawa viongozi? Suala la kuteuliwa Marehemu ni makosa madogo sana ambapo kumbuka ya kuwa uteuzi hufanyika mapema kabla ya siku unayopewa wewe taarifa. Ndio maana kuna wakati huwa unasikia kuwa uteuzi huu ulianza siku fulani.
 
Haya tunaopinga David asiteuliwe kisa siyo mwanahabari, je huyo aliyeondolewa kafanya nini zaidi ya written press?.

Haya anayekuja kama ndiye si alikuwa na huyo aliyetolewa section moja?, nini kipya kitakuja?.
 
Aiseeh! Kafulila ana chawa wake humu kazi zao ni kussuport Jambo la Kafulila na kufukua nyuzi za zamani na kuzijaza hapa JF.
 
Watanzania tuheshimu taaluma za wengine.
Mkurugenzi wa Mawasiliano ni mshauri wa rais wa mambo ya habari.
Kitaaluma anatakiwa kuwa mwandishi wa habari.
Haiwezekani kuokoteza watu wa taaluma nyingine kufanya interview na CNN nk, kwa niaba ya rais.
Kafulila aendelee na majukumu yake.
Kazi ya habari tuwaachie wana habari.
 
Kafulila kazi za umma unafanya lini muda wote uko jf kujipigia promo.

Una ujinga mwingi ?
 
Mbona Kafulila ni mwana CHADEMA? Alienda huko baada ya kuitwa na Magufuli ila sio mwana CCM yule.
🤣🤣🤣Kafulila CHADEMA ila nyie jamaa wivu utawaua mpaka Mama mnasema ni ACT
 
Kafulila umeamua kujipakulia minyama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…