Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mbona hujateuliwa na wakati ni chawa mpaka ameteuliwa marehemu?Uwe unatumia akili mdogo wangu na siyo kuropoka ropoka hovyo hovyo tu hapa.
Ni mtoa rushwa mzuri snKafulila atakuwa katafuta PR team mpya maana siku hizi mnampambania sana.
Nani kakwambia nipo hapo kwa ajili ya uteuzi. Nchi hii ina watu wangapi? Inawezekana vipi wote wakawa viongozi? Suala la kuteuliwa Marehemu ni makosa madogo sana ambapo kumbuka ya kuwa uteuzi hufanyika mapema kabla ya siku unayopewa wewe taarifa. Ndio maana kuna wakati huwa unasikia kuwa uteuzi huu ulianza siku fulani.Sasa mbona hujateuliwa na wakati ni chawa mpaka ameteuliwa marehemu?
Mbona Kafulila ni mwana CHADEMA? Alienda huko baada ya kuitwa na Magufuli ila sio mwana CCM yule.CHADEMA hawawezi kukubali
Kafulila kazi za umma unafanya lini muda wote uko jf kujipigia promo.View attachment 3010881
===
Msemaji wa IKULU ni mtu muhimu sana kwani ndio mtu wa kwanza kumpaka Rais mafuta mbele ya umma wa Tanzania.
Mkurugenzi wa IKULU Mawasiliano anazungumza badala ya Rais wa nchi hivyo lazima ajue karibu Kila kitu kinachomzunguka Rais Kwa mapana yake.
Kazi ya Mkurugenzi wa IKULU sio kusema tu Rais amekwenda Korea Kwa ziara na kutuma picha NO, Ni zaidi ya hayo.
Mkurugenzi wa IKULU kazi yake ni kuonesha faida ya hiyo ziara kitakwimu , Matumizi na kila faida iliyopatika kitakwimu huku akiwa na rejea mbalimbali za anachokisema.
Msemaji wa IKULU lazima aijue vizuri Tanzania ikiwa ni pamoja na Mila na desturi za Kila kundi,
Msemaji wa IKULU lazima aweze kufanya propaganda vizuri hasa Political Numbers hii hapa lazima aiweze sawa sawa.
Msemaji wa IKULU lazima awe source ya habari nyingi hapa ndani ya nchi na ajue vizuri kuitumia media ya local na internation media.
Msemaji wa IKULU lazima ajifunze kusema uongo Mtakatifu hasa pale anapogundua boss wake kateleza kimatendo au kimaneno.
Msemaji ya IKULU anapashwa kuwa na maarifa zaidi ya Kiuchumi na kisiasa kwani ndio agenda kubwa za Taifa hili.
Huyu David Kafulila pamoja na kwamba sio Msemaji wa IKULU ila anaitetea Serikali kwa kiasi kikubwa
Mtakubaliana na mimi kama kweli tunataka habari za IKULU zipate nguvu mbele ya umma wa Watanzania hakuna namna tutamkwepa Kafulila kwa sasa.
Kwa mtazamo wangu Kafulila ndio kijana pekee asiye Mbunge Wala Waziri anayeweza kuwa Msemaji wa IKULU kwa wakati huu ili kuifanya IKULU kutoka kuwa reporter wa habari mpaka kuwa source wa habari.
Toka Samia aseme anaangaliaga Jamiiforums, watu wanajipambania humu JF 🤣Kafulila atakuwa katafuta PR team mpya maana siku hizi mnampambania sana.
Kafulila ana tabia za tumbiriWe jamaa umejaza ID zako nyingi humu kazi kujisifia tu.
Huwezi fanya hata biashara au jambo lingine kama kilimo hivi.
Maana unataka uteuliwe tuuu yaani ni wewe kila nafasi unataka uwe wewe.
Mpumbavu sana.
Sio kila mwanahabari ni mtaalamu wa Mawasiliano.Haya tunaopinga David asiteuliwe kisa siyo mwanahabari, je huyo aliyeondolewa kafanya nini zaidi ya written press?.
Haya anayekuja kama ndiye si alikuwa na huyo aliyetolewa section moja?, nini kipya kitakuja?.
Mkuu Mimi sina ata time ya kutaka Uteuzi, Ila Mimi naona Kafulila anafaa sana .
Kafulila Chifu Nkunda huyo sio siriKila mtu anaetokea Kigoma uraia wake una mashaka? Ujinga huu mtaacha lini?
Mteue awe msemaji wa familia na ukoo wenu.Mkuu Mimi sina ata time ya kutaka Uteuzi, Ila Mimi naona Kafulila anafaa sana .
🤣🤣🤣Kafulila CHADEMA ila nyie jamaa wivu utawaua mpaka Mama mnasema ni ACTMbona Kafulila ni mwana CHADEMA? Alienda huko baada ya kuitwa na Magufuli ila sio mwana CCM yule.
Makasiriko ya nini?Mteue awe msemaji wa familia na ukoo wenu.
Kafulila umeamua kujipakulia minyama.View attachment 3010881