Ikulu mnaalika watu wenye heshima kijanja kisha mnawazodoa

Umedhirisha ulivyo na uwezo mdogo wa kufikiri , unaishia kuwaza ubwabwa kwenye Ishu kubwa ya nchi

Inaonyesha Ni Aina ya mwanamke uliyejishusha thamani yako Sana, kwamba unaweza kurubuniwa kwa ubwabwa tu.

Hivi kwa akili yako katibu wa Tec Ni mtu anashindwa kula Aina ya chakula chochote anachotaka ?

Wenzako walishavuka hizo level za kuwaza ubwabwa wanafikiri namna ya kusaidia nchi yao na kizazi kijacho ,

jitahidi uvuke level za ubwabwa Kwanza ,ndo uje ujadili masuala ya nchi
 
Hao watu kwa ubwabwa huwawezi kabisa.
Wanawaza Ubwabwa tu kichwani ni 0%
 
TEC walienda kufanya nini walipoambiwa kuna hafla? Wlikuwa wanawaza ubwabwa tu. Kufika wakachezea za uso.
 
TEC walienda kufanya nini walipoambiwa kuna hafla? Wlikuwa wanawaza ubwabwa tu. Kufika wakachezea za uso.
Jifunze kuficha ujinga wako kwenye Ishu kubwa zinazokuzidi uwezo haswa za kitaifa,
Uliambiwa waliitwa na Amiri jeshi mkuu bila kupewa sababu
Unajua majukumu ya Amiri jeshi mkuu?
 
Jifunze kuficha ujinga wako kwenye Ishu kubwa zinazokuzidi uwezo haswa za kitaifa
Uliambiwa waliitwa na Amiri jeshi mkuu bila kupewa sababu
Unajua majukumu ya Amiri jeshi mkuu?
Kwanza futa kauli yako "waliitwa"m hawakuitwa. Walialikwa kuwa kuna hafla, unafahamu maana ya "hafla'?

Hivi unataka kunambia na ujanja wao wote wameenda kuvizia ubwabwa bila kuelewa walichoalikwa ni nini na waalikwa wengine ni kina nani?
 
Yule mpoto ndio chawa rasmi wa jumba jeupe, ipo siku wataenda ikulu kuimba ipitishe kwa chini kama sio upo nyonyo upo titi kabisa, vitu vya ajabu
 
Kwanza futa kauli yako "waliitwa"m hawakuitwa. Walialikwa kuwa kuna hafla, unafahamu maana ya "hafla'?

Hivi unataka kunambia na ujanja wao wote wameenda kuvizia ubwabwa bila kuelewa walichoalikwa ni nini na waalikwa wengine ni kina nani?
Inaonyesha wewe ni mzito wa kuelewa au unajitoa ufahamu
Na huenda ukawa mzigo mzito Sana hata familia yako

Nimekuuliza unajua majukumu ya Amiri Jeshi mkuu wa nchi???
Unajua mwaliko wake una maana gani kwa raia yoyote wa Tz ?
Ulitaka wa bashiri kwamba Amiri Jeshi ataacha kuwambia kuhusu musuala amani na usalama wa nchi aingize Ishu zingine kijanja janja
Viongozi wa Tec sio wajanja janja Kama unavyotaka wawe
wale Ni watu smart na wengi ni Genius
wanaheshimu mamlaka pia na Wala sio kuogopa na kujipenswkeza Kama ufanyavyo

Naendelea kushauri jitahidi uvuke level za ubwabwa ndo ujadili Ishu za taifa
 
Anawafananisha na wale wa kwake ambao kwenye mlo lazima wapigane. Au tumpe na picha za ngumi kwenye ubwabwa? Wenyewe wanasema ni sunna
 
Naamini kungekuwa na uwazi wa kusema kuwa tarehe furan kutakuwa na utiaji sain then tarehe hiyo apewe mwaliko asingeenda
 
Tatizo lenu liko hapa, na hata muft analijua wazi kabisa.
Kuwaza ubwabwa kuliko elimu
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…