Ikulu mnaalika watu wenye heshima kijanja kisha mnawazodoa

Hii ni dharau kubwa sana kwa kanisa katoliki Au la basi kanisa katoliki lilijua kila kitu ila walipanga na serikali waweze kujivua lawama mbeleni.
 
Yesu: Ukialikwa harusini kaa siti za nyuma Ili akija Bwana harusi akuulize unakaaje Siti za nyuma Njoo Siti za mbele ufurahie kalamu

Kwa Kawaida ukiwahi Siti za mbele ndio akina Mrisho Mpoto watakuona na kukuletea dhihaka
Pale mbele alipelekwa na kuambiwa akae hapo na ilipangwa kwa makusudi ili kumdhihaki.

But hao watu wazima tayari wamejifunza from that point.
 
Unapoteza muda mkuu hauwezi kueleweka...once a tarabunist always a tarabunist ( wagogo husema)
 
Hivi hao TEC ni akina nani mpaka wao wajione miungu watu? wana nn hasa cha zaidi ukilinganisha na binadamu wengine waliokuwepo eneo la tukio? wana nn hasa kinachofanya uwape attention kubwa hivyo? NI BINADAMU TUU AMBAO MWISHO WATAKUFA, WATAZIKWA, WATAOZA NA KULIWA NA FUNZA, waache kujisahau hii dunia sio ya mama zao. Halafu card ya mwaliko unapewa private then unaipiga picha na kuiweka hadharani ni UPUMBAVU na UJUHA kwa mtu anaejitambua.
 
Wanazuoni kama plato na galileo walikuwa tayari kufa kulinda heshima zao, sasa huyu alivyosikia state invitation havaa kanvu harakaharaka hatakama angekuta kuna harusi angefungisha ndoa
 
Waache hila hao maSshoga
 
Kama kitima Kama kitima ndo kaamua kuusambaza huu mwaliko basi naiomba mamlaka imkamate mana anajiona kwamba serikali Iko answerable kwake na ameiweka mfukoni
 
Nae uroho wa ubwabwa wa ikulu umemponza, mtu umetoka kumzodoa juzi tu leo anakualika halafu bila kujiuliza we huyo kufuata ubwabwa.
Kwa cheo chake kana Katibu wa TEC Huwezi kukataa mwalimi wa serikali unless una sababu maalum.
Alialikwa Hafla kwa niaba ya kanisa. Angetaa Vipi wito? Mtu hakatai wito, hukataa aambiwalo
 
Kumbe waliwaalika padre Kitima na baba askofu kwa ajili ya kuwasimanga, bila shaka ndo maana TEC hawakujiuliza mara mbili kujiweka mbali na hilo dili lao.
 
Waliwasemaje!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…