Ikulu mnaalika watu wenye heshima kijanja kisha mnawazodoa

Kitendo hiki ni cha aibu sana na kinashusha heshima ya Ikulu yetu. Nina uhakika Mheshimiwa Rais hakufahamu njia zilizotumika na ratiba ya mambo ilivyo pangwa.

Juzi kulikuwa na hafla ya kutia Saini mkataba wa Bandari.

Baadhi ya watu mashuhuri na wengine kutokea TEC akiwamo Fr. Kitima walialikwa lakini bila kutaja wamealikwa kwenye nini Ikulu kama kadi zilivyoonyesha.

Mwaliko ulionyesha Rais (tena kwa kitisho cha Amiri jeshi mkuu) anakualika na hivyo sio rahisi kukwepa. Sasa mbaya ni kuwatumia wasanii kama Mrisho Mpoto kuwasemanga mle ndani eti hata wale waliopinga wapo humu!

Sio uungwana hata kidogo taasisi yenye heshima kama ikulu kufanya mambo ya kwenye vigodoro au kitchen party. Kwani wange Saini na kutoa hotuba zao bila kuwasemanga waliokuwa wanapingankwa maslahi ya nchi kulikuwa na ubaya gani?

Hili hata watu kama Pascal Mayalla wanaotetea mambo ya ikulu kwa kila kitu wataona sio right!

View attachment 2794452
Hii ndo staili ya CCM hata cag Assad siku hiyo aliyoalikwa na Magu alistukia anaulizwa kama kunaupotevu wa sh tril 1.5 akalazimika kusema hakuna
 
Kitendo hiki ni cha aibu sana na kinashusha heshima ya Ikulu yetu. Nina uhakika Mheshimiwa Rais hakufahamu njia zilizotumika na ratiba ya mambo ilivyo pangwa.

Juzi kulikuwa na hafla ya kutia Saini mkataba wa Bandari.

Baadhi ya watu mashuhuri na wengine kutokea TEC akiwamo Fr. Kitima walialikwa lakini bila kutaja wamealikwa kwenye nini Ikulu kama kadi zilivyoonyesha.

Mwaliko ulionyesha Rais (tena kwa kitisho cha Amiri jeshi mkuu) anakualika na hivyo sio rahisi kukwepa. Sasa mbaya ni kuwatumia wasanii kama Mrisho Mpoto kuwasemanga mle ndani eti hata wale waliopinga wapo humu!

Sio uungwana hata kidogo taasisi yenye heshima kama ikulu kufanya mambo ya kwenye vigodoro au kitchen party. Kwani wange Saini na kutoa hotuba zao bila kuwasemanga waliokuwa wanapingankwa maslahi ya nchi kulikuwa na ubaya gani?

Hili hata watu kama Pascal Mayalla wanaotetea mambo ya ikulu kwa kila kitu wataona sio right!

View attachment 2794452
Ukishaona Ikulu haina heshima kwa wageni wake, basi dawa ni kukataa mialiko.

Vinginevyo, ukikubali mualiko na kuvunjiwa heshima, umeyataka mwenyewe.
 
Kama kitima
Kama kitima ndo kaamua kuusambaza huu mwaliko basi naiomba mamlaka imkamate mana anajiona kwamba serikali Iko answerable kwake na ameiweka mfukoni
Hizo akili mbovu za kutaka kutumia nguvu tu ili kupata jawabu la kikwazo ndiyo zinalifikisha taifa hapa tunapojadili.
 
Kabla ya kwenda angeuliza hiyo hafla maalumu inahusu nini ili ajiridhishe. Pia, angeweza kutoa udhuru kama alikuwa na mashaka.
Waswahili wangekuambia ..."Usikatae wito,kataa uitiwalo"...!Njia huwa tunapotea wakati wa kwenda.Ukipotea na wakati wa kurudi hakuna budi upangiwe chumba kwenye hotel ya hadhi ya nyota tano iitwayo "Milembe Resort"!
 
Huyo Kitima kawaingiza chaka. Kwa intelijensia ya Kanisa Katoliki ilivyo asingeshindwa kujua huo wito unahusu nini ikizingatia humo Serikalini wamejaa Wakatoliki kibao tena katika nafasi nyeti. Baada ya kuona kuhudhuria kwake kumeleta sintofahamu ndio anajifanya hakujua wito ulikuwa wa nini.
 
Upo sahihi... Na kule Dr. SSH alifanya nao kikao cha ndani. Na zawadi akampa Kardinali mpya.
Haya FUTA yote, alivokuta meza kuu kuna bango kwamba ni hafla ya kutia saini mikataba ya DPW na Mpoto anatapika na kuharisha mbona hakutoka haflani??[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]
ukishakuwa mtu mzima na mwenye wadhifa kama wa Dk kitima huwezi kufanya kitu kama hicho cha kuondoka kienyeji hivyo.
 
Kitendo hiki ni cha aibu sana na kinashusha heshima ya Ikulu yetu. Nina uhakika Mheshimiwa Rais hakufahamu njia zilizotumika na ratiba ya mambo ilivyo pangwa.

Juzi kulikuwa na hafla ya kutia Saini mkataba wa Bandari.

Baadhi ya watu mashuhuri na wengine kutokea TEC akiwamo Fr. Kitima walialikwa lakini bila kutaja wamealikwa kwenye nini Ikulu kama kadi zilivyoonyesha.

Mwaliko ulionyesha Rais (tena kwa kitisho cha Amiri jeshi mkuu) anakualika na hivyo sio rahisi kukwepa. Sasa mbaya ni kuwatumia wasanii kama Mrisho Mpoto kuwasemanga mle ndani eti hata wale waliopinga wapo humu!

Sio uungwana hata kidogo taasisi yenye heshima kama ikulu kufanya mambo ya kwenye vigodoro au kitchen party. Kwani wange Saini na kutoa hotuba zao bila kuwasemanga waliokuwa wanapingankwa maslahi ya nchi kulikuwa na ubaya gani?

Hili hata watu kama Pascal Mayalla wanaotetea mambo ya ikulu kwa kila kitu wataona sio right!

View attachment 2794452
Siyo kuwasemanga bali simanga,mialiko ya ikulu haikataliki!?..hata huulizi,unaenda tu!!..acha wale ubwabwa na mrisho mpoto
 
Yesu: Ukialikwa harusini kaa siti za nyuma Ili akija Bwana harusi akuulize unakaaje Siti za nyuma Njoo Siti za mbele ufurahie kalamu

Kwa Kawaida ukiwahi Siti za mbele ndio akina Mrisho Mpoto watakuona na kukuletea dhihaka
Kwa hili, umekosa hoja ndugu johnthebaptist. Sikulitegemea hili ambalo ni too low litoke kwako..!!
 
Kitendo hiki ni cha aibu sana na kinashusha heshima ya Ikulu yetu. Nina uhakika Mheshimiwa Rais hakufahamu njia zilizotumika na ratiba ya mambo ilivyo pangwa.

Juzi kulikuwa na hafla ya kutia Saini mkataba wa Bandari.

Baadhi ya watu mashuhuri na wengine kutokea TEC akiwamo Fr. Kitima walialikwa lakini bila kutaja wamealikwa kwenye nini Ikulu kama kadi zilivyoonyesha.

Mwaliko ulionyesha Rais (tena kwa kitisho cha Amiri jeshi mkuu) anakualika na hivyo sio rahisi kukwepa. Sasa mbaya ni kuwatumia wasanii kama Mrisho Mpoto kuwasemanga mle ndani eti hata wale waliopinga wapo humu!

Sio uungwana hata kidogo taasisi yenye heshima kama ikulu kufanya mambo ya kwenye vigodoro au kitchen party. Kwani wange Saini na kutoa hotuba zao bila kuwasemanga waliokuwa wanapingankwa maslahi ya nchi kulikuwa na ubaya gani?

Hili hata watu kama Pascal Mayalla wanaotetea mambo ya ikulu kwa kila kitu wataona sio right!

View attachment 2794452
Tuna ikulu majengo ila hatuna ikulu watu. Ikulu imekaliwa na kikundi cha waswahili wanaendesha nchi na mambo yao kiswahiliswahili.
 
Kitendo hiki ni cha aibu sana na kinashusha heshima ya Ikulu yetu. Nina uhakika Mheshimiwa Rais hakufahamu njia zilizotumika na ratiba ya mambo ilivyo pangwa.

Juzi kulikuwa na hafla ya kutia Saini mkataba wa Bandari.

Baadhi ya watu mashuhuri na wengine kutokea TEC akiwamo Fr. Kitima walialikwa lakini bila kutaja wamealikwa kwenye nini Ikulu kama kadi zilivyoonyesha.

Mwaliko ulionyesha Rais (tena kwa kitisho cha Amiri jeshi mkuu) anakualika na hivyo sio rahisi kukwepa. Sasa mbaya ni kuwatumia wasanii kama Mrisho Mpoto kuwasemanga mle ndani eti hata wale waliopinga wapo humu!

Sio uungwana hata kidogo taasisi yenye heshima kama ikulu kufanya mambo ya kwenye vigodoro au kitchen party. Kwani wange Saini na kutoa hotuba zao bila kuwasemanga waliokuwa wanapingankwa maslahi ya nchi kulikuwa na ubaya gani?

Hili hata watu kama Pascal Mayalla wanaotetea mambo ya ikulu kwa kila kitu wataona sio right!

View attachment 2794452
Kuna Watu Wanakera sana. Hivi Huyu Kitimuuu anajitetea kwa Muda Mrefu kama vile Mwana Mama anayetetea ndoa yake. Au Kule Chadema kuna mtandao wa Tigo manatoaga huko. Kuna Vitu vinakera Mpaka siyo poa.
Nilichokigundua kumbe siyo changamoto za Mkataba bali ni Udini na Ukabila ndivyo vinavyowasumbua akina Nongwa.
Rais anashauriwa siyo Kukoromewa kama nyie mnavyotaka. Rais akishauriwa anaupokea ushauri na kuufanyia kazi na ndivyo alivyofanya lakini huo udini na Ukabila hautotufikisha popote Keng nyie
 
Kadi ya mwaliko ni kitu private imekuwa pumbu hizo? Acha ujinga, huoni maana ya kijadiliwacho kuwa ni kumwalika mtu ahudhurie jambo kisha umzodoe kwa vile hakujua anaitiwa nini?
Usiandike ujinga wako kama huelewi jambo!
Wamekutumia picha uje kulia kwa niaba yao haps!?...waandae sacrament bna,leo ijumaa
 
Back
Top Bottom