Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Babelism
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi unadhani Ikulu ni kama ukumbi wa harusi unaingia na kutoka tuu kama upendavyo?Kwani mualiko ni amri?? Acha woga!
Unafika pale ukikuta ni usiyoyaamini unajiondokea! Hata kama Kuna posho, ubwabwa, mvinyo ..
Haya bwana, nakumbuka miaka michache hapo nyuma kuna mmoja aliwahi kusema MIMI NDIO RAISI HAKUNA WAKUNIFANYA KITU... tehe tehe tehe, Biblia imebainisha wazi, ya kwamba....HAYA NAYO YATAPITA mwenye masikio na asikie....Kitendo hiki ni cha aibu sana na kinashusha heshima ya Ikulu yetu. Nina uhakika Mheshimiwa Rais hakufahamu njia zilizotumika na ratiba ya mambo ilivyo pangwa.
Juzi kulikuwa na hafla ya kutia Saini mkataba wa Bandari.
Baadhi ya watu mashuhuri na wengine kutokea TEC akiwamo Fr. Kitima walialikwa lakini bila kutaja wamealikwa kwenye nini Ikulu kama kadi zilivyoonyesha.
Mwaliko ulionyesha Rais (tena kwa kitisho cha Amiri jeshi mkuu) anakualika na hivyo sio rahisi kukwepa. Sasa mbaya ni kuwatumia wasanii kama Mrisho Mpoto kuwasemanga mle ndani eti hata wale waliopinga wapo humu!
Sio uungwana hata kidogo taasisi yenye heshima kama ikulu kufanya mambo ya kwenye vigodoro au kitchen party. Kwani wange Saini na kutoa hotuba zao bila kuwasemanga waliokuwa wanapingankwa maslahi ya nchi kulikuwa na ubaya gani?
Hili hata watu kama Pascal Mayalla wanaotetea mambo ya ikulu kwa kila kitu wataona sio right!
View attachment 2794452
Yaani unaalikwa unajiendea endea tu bila kufanya ufuatiliaji...Hivi unadhani Ikulu ni kama ukumbi wa harusi unaingia na kutoka tuu kama upendavyo?
Hata hivyo hakuna anayelaumu mualiko au kufika kwa walio alikwa, shida iko kwenye vijembe na masemango eti ona hata waliopinga wamekuja! Huo ni ulaghai wa kijinga.
Binafsi sikubaliani na mstari wako wa mwanzo wa mada, na kwa maana hiyo mada yote haina maana tena.Kitendo hiki ni cha aibu sana na kinashusha heshima ya Ikulu yetu. Nina uhakika Mheshimiwa Rais hakufahamu njia zilizotumika na ratiba ya mambo ilivyo pangwa.
Juzi kulikuwa na hafla ya kutia Saini mkataba wa Bandari.
Baadhi ya watu mashuhuri na wengine kutokea TEC akiwamo Fr. Kitima walialikwa lakini bila kutaja wamealikwa kwenye nini Ikulu kama kadi zilivyoonyesha.
Mwaliko ulionyesha Rais (tena kwa kitisho cha Amiri jeshi mkuu) anakualika na hivyo sio rahisi kukwepa. Sasa mbaya ni kuwatumia wasanii kama Mrisho Mpoto kuwasemanga mle ndani eti hata wale waliopinga wapo humu!
Sio uungwana hata kidogo taasisi yenye heshima kama ikulu kufanya mambo ya kwenye vigodoro au kitchen party. Kwani wange Saini na kutoa hotuba zao bila kuwasemanga waliokuwa wanapingankwa maslahi ya nchi kulikuwa na ubaya gani?
Hili hata watu kama Pascal Mayalla wanaotetea mambo ya ikulu kwa kila kitu wataona sio right!
View attachment 2794452
Sa100 ukitoa ule ushungi ni sawa na giggy money tuUnamwita rais ''mheshimiwa'' wakati ni tapeli anayewafanyia ghilba viongozi wa dini? Hii ni kashfa mbaya sana na nitashangaa kama maaskofu hawatasusia shughuli zote za ikulu mpaka rais aombe radhi hadharani.
Nakubali 100%. Ule ushungi ni wa kuficha mambo.Sa100 ukitoa ule ushungi ni sawa na giggy money tu
[emoji3]Walitanguliziwa mpira kwa mbele wakutane nao
Sijitambui kwa kuwa natofautiana na wewe!?Bwana Inamankusweke wata kusweka kweli! Huwa hujitambui wewe sio!
Nchi hii mambo ya kinyemela hata kwenye hafla!?Kitendo hiki ni cha aibu sana na kinashusha heshima ya Ikulu yetu. Nina uhakika Mheshimiwa Rais hakufahamu njia zilizotumika na ratiba ya mambo ilivyo pangwa.
Juzi kulikuwa na hafla ya kutia Saini mkataba wa Bandari.
Baadhi ya watu mashuhuri na wengine kutokea TEC akiwamo Fr. Kitima walialikwa lakini bila kutaja wamealikwa kwenye nini Ikulu kama kadi zilivyoonyesha.
Mwaliko ulionyesha Rais (tena kwa kitisho cha Amiri jeshi mkuu) anakualika na hivyo sio rahisi kukwepa. Sasa mbaya ni kuwatumia wasanii kama Mrisho Mpoto kuwasemanga mle ndani eti hata wale waliopinga wapo humu!
Sio uungwana hata kidogo taasisi yenye heshima kama ikulu kufanya mambo ya kwenye vigodoro au kitchen party. Kwani wange Saini na kutoa hotuba zao bila kuwasemanga waliokuwa wanapingankwa maslahi ya nchi kulikuwa na ubaya gani?
Hili hata watu kama Pascal Mayalla wanaotetea mambo ya ikulu kwa kila kitu wataona sio right!
View attachment 2794452
Mashoga wengi wanapatikana mikoa ya pwani, Tena kwenye miziki ya taarabu. Jiulize ni watu wenye mielekeo ya Imani ipi wanaopenda taarabu na kuishi pwani. Kibao kata yote ni Mambo yenu.Waache hila hao maSshoga
Dah nimeelewa. Huyu Askofu.Kitendo hiki ni cha aibu sana na kinashusha heshima ya Ikulu yetu. Nina uhakika Mheshimiwa Rais hakufahamu njia zilizotumika na ratiba ya mambo ilivyo pangwa.
Juzi kulikuwa na hafla ya kutia Saini mkataba wa Bandari.
Baadhi ya watu mashuhuri na wengine kutokea TEC akiwamo Fr. Kitima walialikwa lakini bila kutaja wamealikwa kwenye nini Ikulu kama kadi zilivyoonyesha.
Mwaliko ulionyesha Rais (tena kwa kitisho cha Amiri jeshi mkuu) anakualika na hivyo sio rahisi kukwepa. Sasa mbaya ni kuwatumia wasanii kama Mrisho Mpoto kuwasemanga mle ndani eti hata wale waliopinga wapo humu!
Sio uungwana hata kidogo taasisi yenye heshima kama ikulu kufanya mambo ya kwenye vigodoro au kitchen party. Kwani wange Saini na kutoa hotuba zao bila kuwasemanga waliokuwa wanapingankwa maslahi ya nchi kulikuwa na ubaya gani?
Hili hata watu kama Pascal Mayalla wanaotetea mambo ya ikulu kwa kila kitu wataona sio right!
View attachment 2794452
Sasa kama umeona ni mwaliko bubu na ukaenda bila kujua unaitiwa nini kama ulikua unataka ukachinjwe wewe utakua ndio una matatizo nadhani.Wewe jamaa kweli hivi unatumia akili kweli?
Yaani wewe unipe mwaliko bubu
Mimi nianze kuuliza mwaliko wa nini?
Mbona ipo wazi, kadi huwa inajitosheleza na inaeleza mwaliko ni wa nini
Acha wehu bwana, hata kama ndo utetezi usijinyofoe akili kiasi hicho.
Endelea kujidanganyaVyeti feki fc
Kwahiyo, unataka kusema macho ya Mrisho Mpoto yana matatizo ya kuona mbali?Yesu: Ukialikwa harusini kaa siti za nyuma Ili akija Bwana harusi akuulize unakaaje Siti za nyuma Njoo Siti za mbele ufurahie kalamu
Kwa Kawaida ukiwahi Siti za mbele ndio akina Mrisho Mpoto watakuona na kukuletea dhihaka