Ikulu mnaalika watu wenye heshima kijanja kisha mnawazodoa

mrisho mpoto ajitafakari sana, chid benz alitumika kumnanga lowasa, tunajua kilichomtokea baadaye, sifa za kijinga hazijawahi muacha mtu salama, ogopa sana unamnanga na kumkejeli mtu halafu yeye anajikalia tu kimya maskini wa Mungu. kuna mtu alipiga pushup majukwaan kuonyesha yuko fit na mwingine hayuko fit, leo hatunaye ila yule aliyeonekana muda wowote anajifia bado tunaye hata kama si mzima kiivyo.
 
Hii ni fedheha na aibu ikulu kuandaa mialiko ya kuviziana kama hivi

Inaonyesha wazi wanajua utapeli walofanya ndio mana wanafanya mambo kama haya

No wonder Fr Kitima alikuwa hana raha kabisa

Tuna safari ndefu sana
Serikali imefanya utapeli na uhuni wa wazi kabisa.. What a shame.. Hili litawagharimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aibu sana !
 
Nae uroho wa ubwabwa wa ikulu umemponza, mtu umetoka kumzodoa juzi tu leo anakualika halafu bila kujiuliza we huyo kufuata ubwabwa.
Mwaliko unetaja kabisa ni kutoka kwa Amiri jeshi mkuu unadhani hilo neno limewekwa kwa bahati mbaya?
 
Kadi ya mwaliko ni kitu private imekuwa pumbu hizo? Acha ujinga, huoni maana ya kijadiliwacho kuwa ni kumwalika mtu ahudhurie jambo kisha umzodoe kwa vile hakujua anaitiwa nini?
Usiandike ujinga wako kama huelewi jambo!
 
Fr. Kitima nae aachage kupenda mialiko ya Ikulu.
Haipendezi kuibuka leo wakati walishaenda na wakashiriki!
Kama aligundua utofauti wa kadi na MUKTADHA alioukuta alipaswa kuondoka!
Kwenye hili siwezi kuilaumu serikali na genge lake!
 
ilikua kazi ndogo tu wangeondoka mapema, kipi kiliwaweka hadi mwisho wa mambo,au posho nzuri maamuzi baadae
 
Siasa tu hizo walijua kila kitu kuanzia Ziara ya Tabora
Upo sahihi... Na kule Dr. SSH alifanya nao kikao cha ndani. Na zawadi akampa Kardinali mpya.
Haya FUTA yote, alivokuta meza kuu kuna bango kwamba ni hafla ya kutia saini mikataba ya DPW na Mpoto anatapika na kuharisha mbona hakutoka haflani??😂🤣😂🤣
 
Nimecheka sana baada ya kusoma hiyo kadi ya mwaliko. Tusiwalaumu TEC kwa sababu hawakujua maudhui ya mwaliko. Kwenye nchi ya uwazi na ukweli unaficha nini maudhui ya mwaliko. Ninawasikitikia waliotoa kadi ya mwaliko. Be frank unaogopa nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…