Toa na wewe hilo li Avatar lako hapo JuuPicha Rasmi ya Rais Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inayotakiwa kubandikwa Kwenye Ofisi mbalimbali. MwenyeziMungu amtunze Rais Wetu
View attachment 1732488
ndio imeisha hiyo.Mbona fasta sana hata mzee hajasitiriwa bado. Dah mtu akishafariki hana lake tena
Bwashee tuondolee ujinga hapa, madam ni mke wa mtu mambo ya kulichunguza jicho lake utatuletea laana wabongo , ushindwe na ulegeeMungu ampe maarifa Rais wetu na ajifunze kuwa msikivu. Ila ana jicho huyu Mama 😋
Kweli hata Mimi ningependekeza hii
[emoji3][emoji16][emoji23][emoji3][emoji3]Kuwa na adabu na Rais wetu [emoji3][emoji3][emoji3]
By the way, you have a point [emoji23]
Tatizo siyo barakoa, ni kudukuliwa uhai kama watu wanavyodukuwa mawasiliano ya simu.Avae barakoa,Mungu hawezi kutunza mtu aliyempa maarifa na nyenzo na hazitumii
Kweli aisee. Hata mimi nimeipenda hii.
Maisha yanaenda kasi sana!! Mataga hawaamini kilichotokea.Picha Rasmi ya Rais Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inayotakiwa kubandikwa Kwenye Ofisi mbalimbali. MwenyeziMungu amtunze Rais Wetu
Akiwa clerk/karani ,huko ndiko baba walikutana huko na mama yetu mpendwa jicho lamoto ,afadhari kwasasa atavaa miwani mwanzo mwisho ADC asipuuze hilo...unaweza jua anakupenda akikuangalia kumbe hapanaMtuwekee picha zake akiwa teenager
Hautaa uamini Magufuli kufutika ni ngumu Sana wanasiasa watamtumia Kama sehemu ya wao kujinadi.Magufuli ndio basi tena,haya makelele ya shujaa hayatadumu hata nusu mwaka. Anasauhulika kama wanampenda sana wangemuacha aendelee kutawala kama malaika