Acha urongo...Pata elimu hapa...Yes, civil is government na moja ya majukumu ya civil servants ni kudhibiti public servant kuhakikisha wanafanya kazi kwa kuzingatia kanuni na sheria. Wakati public servant wana wajibu wa kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia taaluma zao.
Zingatia kuwa, anakuwa mkuu wa mabalozi wote wa Tanzania.Huo Ubalozi amempa ili wasifu uendane na Marehemu Kijazi ?
Yes nadhani definition hiyo iko sahihi kwamba civil servant anafanya kazi za serikali au kwa niaba ya serikali na public servant anafanya kazi za umma kwa mujibu wa taaluma zao.Get things right...Avoid guess work...
Now days we have open encyclopedia atleast through Google....though it also have junks
Ubalozi ni hadhi ya kidiplomasia .Siyo kwamba anaenda kuwa baloz nchi fulani.Hapana.Katibu Mkuu Kiongozi na wakati huo huo Balozi? Kivipi? Ataiwakilisha nchi kwenye nchi gani? Mbona kuna utata hapa? Tafadhali fafanulieni kabla wananchi hawajahoji!!!
Zingatia kuwa, anakuwa mkuu wa mabalozi wote wa Tanzania.
Sasa urongo upi hapo wakati imeandikwa public and civil servants, kwa maana viko vitu viwili tofauti?
So next time ijue institution maana yake ina rules and regulations the inorganic component and organization (organic component) where there are positions therewith is flow of power and information...
Ubalozi ni hadhi ya kidiplomasia .Siyo kwamba anaenda kuwa baloz nchi fulani.Hapana.
Hii nchi ishapoteza dira ,utajiumiza kichwa na mswaliKwa hiyo anakuwa Katibu Mkuu wa Chama na Katibu Mkuu Kiongozi kwa wakati mmoja au anaacha kuwa katibu mkuu wa CCM?
Vipi kuhusu muongozo wa utumishi serikalini unaotenganisha mambo ya chama na utumishi wa umma serikalini?
Hata kama atajiuzulu Ukatibu Mkuu CCM, huu uteuzi unaonesha kwamba utumishi serikalini unaenda kupelekwa kichama chama zaidi.
Nisome tena hapo chini...sheria yao ni moja lakini organized differently...wote wana jina la watumishi wa umma kiswahili kinaweka vizuri...wameajiriwa na umma katika madaraja yao including the president kwakua kwa katiba yetu Mh. Rais pia ni mtendaji na mwanasiasa so anachaguliwa na anaajiriwa na ummaSasa urongo upi hapo wakati imeandikwa public and civil servants, kwa maana viko vitu viwili tofauti?
Wote ni watumishi wa umma.....Mahakimu na Majaji nao ni civil servants?
Wote ni watumishi wa umma...
Wekeni tangazo wazi kabisa kwamba wafanyakazi wote wa serikali ni lazima wawe wanachama wa CCM basi.Ile mambo ya kutenganisha chama na utumishi ni story tu...maana watumisho wote wa serikali wa kuteulia huwa ni wanachama wa chama.
Alafu ni muhimu sana kwa mtumishi kuwa ccm ili aweze itekeleza ilani ya chama vizuri bila mgongano wa kimaslahi.
Kwema Mkuu?Nimejiuliza sababu ya ubalozi mpaka sasa sijaelewa, au labda wanataka akienda nje kufanya deals awe na "Diplomatic immunity".
Elewa mantiki hapo wote ni civil servants...Watumishi wa umma...Lakini ndani ya hao wapo ambao wanaunda serikali au kufanya utendaji wa serikali na wale ambao wanafanya kazi kwa niaba ya serikali katika sehemu zao lakini kwa niaba ya umma wa Tanzania; and kwa sheria ya sasa unaweza kupelekwa kokote ukafanye kazi bila kujali ulikuwa wapi kabla...Kuna amendments zimefanyika...sina reference ningekuwekea hapaYes nadhani definition hiyo iko sahihi kwamba civil servant anafanya kazi za serikali au kwa niaba ya serikali na public servant anafanya kazi za umma kwa mujibu wa taaluma zao.
Robert Amsterdam anasemaje kwaniAmepanda au ameshuka ?
Unaelewa ulichoandika?Dr Bashiru is not qualified for that post, at least on how succession planning goes in unitary government system na uwezi kupewa hiyo nafasi if you are not a qualified top spy nor having held other senior servant position.
At the same time naona logic ya Magufuli kumteua Dr Bashiru, civil services ya Tanzania ni ovyo sana in administering party manifesto. Kwa fikra za raisi kwa kumteua Dr Bashiru he will push more other senior civil servant.
But then that role is bigger than that maana kuna aspects za international relations and national security issues.
The bottom line TISS inapwaya kwenye kuandaa viongozi, safu ya juu nchi kama UK tulipo-copy mfumo wa serikali yetu makatibu wakuu wote + senior civil servant ni watu ambao wanaelewa strategic operation zao kuanzia juu mpaka chini na control measures.
Na kwenye kupanda kwao ukifikia level za kuitwa senior civil servant unakuwa afisa usalama maana unajukumu la kutunza siri za nchi.
Sisi tunaokoteza tu watu at senior post, most lack the skills to implement a strategy fit for the party manifesto, can’t execute a mission efficiently nor pay attention to the manifesto. Nadhani Magufuli kaona mapungufu hayo and he thinks Bashiru might get things moving fast.